VODACOM KASI INTERNET

Sijakuelewa.
Yaani kifurushi kimeisha halafu unaendelea kupata huduma ya internet?, Nadhani, Kuna Maelezo hayajakamilika hapa. Labda ulimaanisha internet inapokaribia kwisha.
Internet haikati, kifurushi ni cha mwezi 50k unapata 24gb...
Ila usije ukachanganya, kasi internet ni tofauti na Supakasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom