GanaJr
Senior Member
- May 26, 2020
- 120
- 215
Sijui nilibonyeza wapi hata sikumbuki.
Nilijikuta nikitype neno lolote inatamka neno au nikiandika namba inatokea sauti kutaja hiyo namba, kitaalamu wanaita (TALKBACK).
Imekuwa inanikera sana, nimejaribu sana kuiondoa ila nashindwa. Naombeni msaada wakuu Wangu.