Unaijua Xiaomi Pro 12 (UK )

Unaijua Xiaomi Pro 12 (UK )

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,293
Reaction score
2,620
Moja Kati ya kampuni inayokuja Kwa Kasi ulimwenguni ni Xiaomi wanaendelea kutoa simu nzuri na zenye muonekano wa kipekee Sana.

Hatimaye Xiaomi wameweza kuachia simu mpya aina ya Xiaomi pro 12 mwanzoni iliachiwa December china sasa duniani kote inapatikana.

Specifications zake
[emoji117] 6.73 " QHD + 1-120hz
[emoji117] 1500nit , AMOLED display
[emoji117] snapdragon 8 Gen 1
[emoji117] 8/12 GB RAM + 256 storage
[emoji117] 4600mah + 120W hypercharge
[emoji117] 50mp + 50mp + 50mp camera
[emoji117] 32mp font camera
[emoji117] Imx 707 main sensor
[emoji765]999

NDANI YA BOX [emoji736]
Simu hii imekua mshindani mkubwa wa Samsung Galaxy s22 + iphone 13 pro pamoja na Oppo ya x5 pro. Muundo wake ni wa kushangaza na kupendeza ukitumia unajihisi uko Dunia ya pekee yako.

Kamera yake ni nzuri sana ila sio ya masafa marefu , specs zake ni nzuri sana Kama unapenda picha na video editing ila Ina tabia ya kupata sana joto ila iko poa.

Inatumia android 12 + MIUI 13 ipo poa sana na very fast Kama kompyuta [emoji16], zimekuja na app chache kuliko matoleo mengine ambazo uwezi kuziondoa mpaka huwe rooted.

Unafanya update ya miaka mitatu yani ikitokea google wameachia version mpya ya android basi kazi yako ni kufanya update tu. Iko na fast charge unatumia mda mchache simu kujaa ndani ya dakika 18 mpaka 30 tu.

Uwezo wa kamera [emoji17] bado haujafikia Samsung na apple lakini ni nzuri kuliko simu nyinginezo [emoji16] nazani mnazijua.

Overall ni 8/10 [emoji85]

Ebu tuachie maoni yako tuchambue simu gani ambayo ungependa kujua ubora wake na udhaifu ?

IMG_20220316_134527_024.jpg
View attachment 2152847View attachment 2152848
 
View attachment 2152849View attachment 2152847View attachment 2152848
Kweli hizi kampuni nyingine wa najitahidi lakini Samsung na apple ni next level
 
Back
Top Bottom