Habarini.
Nimewaletea simple system inayokuasaidia kuandika cover letter kwa kazi ambayo unataka kuomba.
Unachotakiwa kufanya ni kupaste link ya kazi unayotaka kuapply, andika jina lako na...
Habari wataalam,
Naomba msaada simu yangu kwenye mitandao ya kijamii kama facebook na instagram kuna baadhi ya maandishi hayasomeki inatokea alama tu kama zinavyoonekana kwenye picha hapo chini.
Kampuni ya HMD global leo imezindua simu mpya ya Nokia 6 huko china.
Nokia 6 Specifications:
5.5-inch FullHD screen (2.5D glass, Gorilla Glass 3)
154 x 75.8 x 7.85 mm (camera bulge 8.4 mm)...
Okay wakuu, nimejaribu kudownload hizo setup kwenye pc maana nahitaji kufanya update ya driver kwenye pc lakini naona hizo nilizodownload zina mambo ya kulipia.
Sasa nauliza je kama kuna njia...
habari ya mwaka mpya wakuu, nimekutana na SAMSUNG used from dubai bei nafuu kidogo mana zile fullbox bei zake ni "sugunyo" itanilipua, nimefanya ka udadis zile simu zina dot. naombeni wenye...
Hellow guys,
Msaada kidogo; nataka niwe natumia iMassege tu, yaani mtu akitaka kunitumia text most awe na bando kama ana bando zisifike kwangu.
Anayejua ku-set, please.
Jana nimeangalia event ya uzinduzi wa galaxy S22 kiukweli hakuna cha maana sana cha kumfanya mtu atoke S21 ultra kwenda S22 ultra.
Kama ilivyokua kwa iphone 12 pro vs 13 pro kwa hii model ya...
Salaam wakuu
Naomba mwenye link ya KineMaster apk tafadhali ili niinstall kwenye simu yangu maana nimejaribu kudowload inakubali lakini kuinstall inagoma
Sent from my 2201116TG using JamiiForums...
Acheni kabisa kuhusu huu mtandao. Aliyeutengeneza huu mtandao alikaa chini na kuumiza sana akili. Yaani ndani ya TikTok kuna vitu amazing.
1. Movie kama zote, yaani ukiuliza hii movie inaitwaje...
Nahitaji usaidizi...pc yangu dell mini kila aina ya usb nilizojarib hazisomi zinachaji tu. Namaanisha data cable halafu nikiwasha inachukuwa muda mrefu sana kuonyesha window ili niweke nywira...
Habari kwa wana bodi wa Jf,
Naomba niingie moja kwa moja kwenye mada. Hivi majuzi nilikuwa najaribu kuingiza vitu kwenye flash yangu (8Gb) baada ya kumaliza nilirejea nayo nyumbani.
Kimbembe...
Wakuu naomba kueleweshwa kwa wenye uelewa juu ya hili, nimekuta namba yangu ya simu imewekwa kwenye call forwarding to +255128 & +255121 ilihali sijawahi kumpa mtu simu yangu aishike, mwenye...
Wapenzi wa Redmi phones mbona kama redmi note 12 ina specification za kawaida sana kuliko predecessors wake yani note 10 na note 11? Au tusubiri kwanza global version?
Specification za kawaida ni...
Tangu tarehe 5 walipoachia .iso ya win11 ambayo wengi tulikuwa tunaisubiri kwa hamu nilifanikiwa kui install.
Baada ya siku mbili zakufanya majaribio ilibidi niitoe nirudishe win21H1 sababu ikiwa...
Naomba kuuliza, hivi kuna online meeting ambayo unaweza kuamua ni nani awe kwenye meeting?? Maana mfano Microsoft teams yeyote mwenye app ya Microsoft teams akitumiwa link anaweza akajoin meeting...
Habari nimeona ni share na nyinyi hii,
Katika ushindani wa soko la simu kampuni nyingi za simu zimejikuta zikitoa simu zenye kushabihiana sifa. Kwa leo tuliangalizie kwa ndani simu aina ya Infnix...
Bram alizaliwa mwaka 1975 huko Dream country USA huku baba yake ni mwandisi wa kompyuta na mama yake ni mwalimu.
Baada ya kufikisha miaka 5 Bram alikuwa amewiva kujua lugha za huandisi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.