Samsung Galaxy S22 ultra, ubunifu umefika mwisho

Lusungo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
29,515
Reaction score
42,646
Jana nimeangalia event ya uzinduzi wa galaxy S22 kiukweli hakuna cha maana sana cha kumfanya mtu atoke S21 ultra kwenda S22 ultra.

Kama ilivyokua kwa iphone 12 pro vs 13 pro kwa hii model ya mwaka huu samsung hajaleta major changes kutufanya tu move kutoka S21 ultra.

Tusubiri kwa mwakani labda.

Screenshot_20220210-092604_Samsung%20Internet.jpg
Screenshot_20220210-092529_Samsung%20Internet.jpg
Screenshot_20220210-092505_Samsung%20Internet.jpg
Screenshot_20220210-093307_Samsung%20Internet.jpg

Screenshot_20220210-092343_Samsung%20Internet.jpg
 
ubunifu hamna siku hiz mabadiliko machache sana, ngoja aje mtu kuwashtua wachangamke kama walivyouawa kina Nokia & blackberry
Kwenye ubunifu walipofikia sahv unadhan kuna lip lingine la kuongeza
 
S 21, S 22 wameondoa SD card, bora nibaki na S20, haina stress kuingiza data, documents, miziki, picha, apps, kwenye simu....

wanataka kuwaiga apple, simu yako mwenyewe lakini ma restrictions ya matumizi kibao... sometimes wanavyoenda mbele ndio wanazidi kurudisha nyuma teknolojia
 
Uwezo ninao na sina sababu ya kufanya hivyo.
Sasa kama huwezi kufanya hivo unakuja hapa kutuambia sisi ambao tutanunua ili tufanyaje? Tusinunue? Endeleeni kuwa watumwa wa western na hayo ma iphone. Watu wanatumia muda kuwakilisha kitu kipya wewe unasema hamna kitu. Mtanzania ana akili kuliko mkorea wee ulisikia wapi?
 
Mkuu nimefanya tu comparison... na nimeshasemq hapo kwa uzoefu wa hii S21 ultra niliyonayo ukilinganisha na hiyo no major changes.... sasa sijui ubaya wangu ni nini hapo.
 
Na utakuta anatumia TECNO spark4, sisi tunazungumzia udhaifu wa toleo jipya yeye anakuja na hoja za kuonyesha kuwa anauwezo wa kununua.

Ninayo S21 na ulichokisema ni sahihi, haina utofauti mkubwa na hii ya sasa.
 
S 21, S 22 wameondoa SD card, bora nibaki na S20, haina stress kuingiza data, documents, miziki, picha, apps, kwenye simu....

wanataka kuwaiga apple, simu yako mwenyewe lakini ma restrictions ya matumizi kibao... sometimes wanavyoenda mbele ndio wanazidi kurudisha nyuma teknolojia

Wakiwaiga apple watapotea, Wakina huawei na oppo watakuja juu.

Samsung is my favourite phone.
 
S 21, S 22 wameondoa SD card, bora nibaki na S20, haina stress kuingiza data, documents, miziki, picha, apps, kwenye simu....

wanataka kuwaiga apple, simu yako mwenyewe lakini ma restrictions ya matumizi kibao... sometimes wanavyoenda mbele ndio wanazidi kurudisha nyuma teknolojia

Kwamba ukiwa na Simu Storage ya 256 GB bado unahitaji memory slot??
 
Back
Top Bottom