Nifanyeje iPhone yangu itumie Apps za android?

Whatsapp ipo Facebook na instagram kwann utumie hizi ikiwa umeamua kutumia iPhone?
Boss app yoyte ambayo ni lite maana yake ni ndogo na uraji wake wa mb ni mdogo tofauti na zile app premium.

WhatsApp iliyopo app Store ni ile premium sio Gb . WhatsApp ya kawaida ina madhaifu mengi ndo maana watu wengi upendelea kutumia Fm na Gb
 
Sijajua kwanini unataka GB WhatsApp, lakini uhitaji wako wa Facebook na Instagram Lite ni kwa ajiri ya kupunguza storage na data usage

Oh come on, unamiliki Iphone bro
Bundle halitakiwi kuwa shida

Tumia official apps
natak gn WhatsApp coz citak usumbuf kwa raia..

nadhan ww unazijua faida za Gb WhatsApp
 
Back
Top Bottom