Oscar Wissa
Senior Member
- Sep 5, 2018
- 128
- 196
Nimegundua una stressTazama yangu inavyoonekana kisha niambie umejifunza kitu gani?View attachment 2050152
tecno wereva ukiiweka kwenye night mode unaweza usiijue aysee,imependezaTazama yangu inavyoonekana kisha niambie umejifunza kitu gani?View attachment 2050152
Unatumia simu ya line mbiliTazama yangu inavyoonekana kisha niambie umejifunza kitu gani?View attachment 2050152
Kuna shida??Unatumia simu ya line mbili
Umeuliza nimejifunza nini? hicho ndicho nilichojifunzaKuna shida??
Una ushamba mwingi sanaTazama yangu inavyoonekana kisha niambie umejifunza kitu gani?View attachment 2050152
Ni yeye mwenyewe kaamua kutumia..mm bado naprefer kutumia default msg app maana ndo nimeizoea.samsung nao wameanza kukabwa kutumia haya ma app ya google caller na sms app[emoji16][emoji16][emoji16].
ndio wakati wa kuwekeza nguvu ios,android wanapenda ujinga sana.