mwangwa1209
New Member
- Oct 11, 2016
- 2
- 1
Wakuu naomba kueleweshwa kwa wenye uelewa juu ya hili, nimekuta namba yangu ya simu imewekwa kwenye call forwarding to +255128 & +255121 ilihali sijawahi kumpa mtu simu yangu aishike, mwenye kuzifahahamu hizo namba mbili naomba anisaidie kujua ni za kampuni gani na je inawezekanaje mtu akuwekee hii kitu bila kushika simu yako...
Wenye uelewa juu ya hili naomba mnisadie kujua hii kitu.
Wenye uelewa juu ya hili naomba mnisadie kujua hii kitu.