Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakuu, Nimekuwa nikitumia YoWhatsApp kwa simu A na sasa nimepata simu mpya B. Nataka chat zangu zote zihamie simu B pindi nikiweka YoWhatsApp katika simu B. Nimepitia maelezo mitandaoni...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Jina sahihi la processor zilizopo ndani ya simu ni CHIPSET kwa kifupi CHIP. Processor ni moja ya kitu ambacho huisaidia simu yako kufanya kazi kwa ufasini na ni kama ubongo au injini ya simu yako...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu kama kuna anayeweza kunisaidia hiyo software please anisaidie.
0 Reactions
2 Replies
645 Views
Wakuu habari ya nyie naamini mko good kabisa, straight to the point, kuna kimeo hapa cha iPhone SE kina run IOS 14.3 nahitaji kukitoa iCloud lock nimejaribu kuki jailbreak kimekubali issue ilo...
0 Reactions
5 Replies
980 Views
Wakuu msaada kuna aliyewahi kutumia j box ku bypass iCloud vipi ufanisi wake kabla sijanunua wakuu
0 Reactions
3 Replies
384 Views
Wadau hivi ni kweli asilimia kubwa ya smart tv na deki zetu hizi huwa hazina uwezo wa kusoma flash ya uwezo wa 64gb kwenda juu? Note: Flash ambazo ni ORIGINAL. Maana nimetest kuanzia 8gb mpaka...
5 Reactions
42 Replies
8K Views
Hii ni namba ya mtandao gani hapa tanzania????
0 Reactions
17 Replies
55K Views
Wakuu heshima yenu, nimekuja mbele yenu nikiwa na swali moja tu ni software gani ambayo inaweza ikanisaidia kuhifadhi taarifa za namna hii. Mfano: Taarifa za watoto waliozaliwa nchi nzima...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu nina Samsung A30 Ina tatizo la Kuvibrate na Kujizima mwenye Uzoefu na Simu Hizi naomba anielekeze, tatizo huenda litakuwa ni nini??
0 Reactions
2 Replies
781 Views
Uamuzi huo utaathiri hadi 5% ya Wafanyakazi wake wote duniani na utaigharimu kampuni kiasi cha Tsh. Trilioni 2.7 katika kujipanga upya. Kwa mujibu wa Financial Times, Microsoft inatarajia kufanya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapendwa nimeweka Windows 10 kwenye PC yangu aina ya Acer lakini sensor imegoma kufanya kazi naomba kukujua tatizo itakuwa ni Nini na namna ya kutatua.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za muda wakuu nimetokea kuvutiwa Sana na brand za Xiaomi kuna hii Xiaomi mi 9 SE mwenye nayo amabayo IPO clean condition aje DM tuyajenge Zaid Happy new year there few hours hours remain
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wengi wetu tumekuwa tukinunua simu bila kujua tunaenda kutumia kwa ajili gani. Yani unakuta mtu ana simu, tablet na laptop vyote ukimuuliza hana jibu. Sio kosa kuwa navyo ila je unatumia kwa...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
PC yangu imeharibika housing. Nikiifunga na kufungua ndio inazidi kuvunjika. Je, ni wapi naweza kupata housing mpya au used? (Ni housing ya plastic) Makadirio ya bei ni kiasi Gani? Na gharama za...
0 Reactions
4 Replies
992 Views
Jamani nimehangaika sn kupata hili game. Naomba mwenye kupata maana huwa napata trial tu Natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
806 Views
Habari za muda huu wajuvi. Nawasilisha hii changamoto japo simu imenunuliwa mkononi bila kujua tatizo naomba msaada niweze kulitatua. Matatizo yake ni muda mwingine inaleta notification ya No...
1 Reactions
2 Replies
420 Views
Habari wanateknolojia. Karibuni Ozone Technologies mjipatie vioo vya laptop. Vioo vyetu ni vipya, na vyenye ubora. Ukinunua kioo kwetu, Tutakupatia na ofa ya kukufungia bure kabisa. Bei ...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Za asubuhi wadau natumaini mumeamka salama salmini Nilikuwa na mpango wa kuagiza redio za jbl katika peruzi zangu huko mtandaoni nikakutana na hawa jamaa wa Ali express naona bidhaa wanuza bei...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Nimenunua SIMU vivo x9, inakamata mtandao mjini tu kijijini haikamati, pia laini zote zinakubali kasoro tigo. NAOMBA wajuzi mnisaidie
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom