These 10 steps will take you a long way toward reducing your energy use and your monthly budget. And less energy use means less dependence on the fossil fuels that create greenhouse gases and...
Over a short period of time, three major operating system releases will take place. From Apple, Mac OS X 10.6 (also known as Snow Leopard) will ship on August 28,2009. From Microsoft, Windows 7...
Wakuu JF Nawauiiza Swali ipi ni bora kati ya hizi 2 WINDOWS XP VS Mac OS X Snow Leopard ? Na kwanini imekuwa Bora zaidi ya nyingine? naomba utowa ufafanuzi tafadhali.
Wakuu JF Nawauiiza Swali ipi ni bora kati ya hizi Tatu WINDOWS XP WINDOWS VISTA na WINDOWS 7? Na kwanini imekuwa Bora zaidi ya nyingine? Towa ufafanuzi tafadhali.
Wadau naombeni msaada wenu zaidi....Nadhani nimejaribu kucheck zaidi lakini nimeshindwa kufumbua problem ya hii laptop yangu ni nini...Kwanza kabisa nina problem ya internet ya kuaccess...
MUONGO MMOJA WA MTANDAO
Jinsi Rais wa marekani alivyotumia mtandao wa kimataifa kwa ajili ya kufanya kampeni zake za kuwania uraisi nchini marekani imebadilisha kwa kiasi kikubwa jinsi watu...
Jamani mimi natumia Zantel kwenye huduma ya internate,cha ajabu kwenye package zao ziwe za saa 24,siku 7 au siku 30 wanatangaza kuwa ni Unlimited ilihali ni UONGO,ukishusha vitu vingi inaisha...
Habari wakuu!!
Naomba kuuliza kama kuna mtu aliyewahi kufanikiwa kutumia Blackberry Mobile phone kama Modem.Nimekuwa nikitumia Nokia E71 Kama Modem mara zote nilizokuwa narudi home TZ likizo na...
http://www.wired.com/wiredscience/2009/12/super-earth/
Most Earth-Like Extrasolar Planet Found Right Next Door
An artists rendition of the extrasolar planet GJ 1214b
Meet GJ...
Wanajamii,
Jamani natafuta mtu ambaye ni mtaalam wa kutengenza websites ikiwa ni pamoja na kuhakikisha inafanyiwa domain registration, inaweza kupatikana kwenye google search na pia nitaweza...
Hapa kwetu TZ siku hizi kuna watu wengi wanaitwa Dr. somebody au Prof. somebody. Lakini ukienda kwenye strong journals duniani huwakuti kabisa majina yao katika articles. Hivi huwa wanapata hizo...
Hello wana JF
Nina Cisco Catalyst 500 series switches kwenye LAN yangu. Kwa vile sina Internet connectivity, nimevuta cable moja kutoka kwenye switch na kujiunga na network nyingine yenye...
Habari zenu wana JF?
Kuna program moja inaitwa Latex kwa ajili ya kuandikia report kama vile dissertation/Project na article na vitabu vile vile...
Hii ni program unaandika ktk txt form...
JESHI la Polisi limeunda timu ya kuchunguza matukio ya uhalifu kwa njia ya mitandao, simu za mikononi, ATM za mabenki na huduma nyingine za mitandao cha Ant cyber crime Unity ili waweze kubaini...
Ndugu zangu leo nimeona niongelea juu ya huduma ya BIS kwa kutumia blackberry kati ya kampuni ya Zain na Vodacom,ingawa hii mada imewahi jadili hapo kitambo,kuwa ni kampuni ipi ambayo inatoa...
NIMEUNGANISHWA NA DUNIA
Sikuwahi kuota hata sikumoja kama kuna siku nitakuja kuungishwa na dunia kama ilivyo sasa hivi , lile neno la dunia kuwa kijiji kimoja sasa limeanza kutimia kwa kiasi...
Sijui ni kujiamini sana kwa kuwa na wateja wengi, sijui ni dharau, mtanisaidia,
Angalia, wanafungua saa 4 asb hasa mbagala, wakati wenzao saa moja,
vibanda viko vichache, barabara...
Ni kweli kwamba kila mtumaji wa computer popote alipo nyumbani , kazini na sehemu zingine mbalimbali anategemea sana antivirus kwa ajili ya ulinzi wa computer yake haswa upande wa programu na aina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.