Mtaalam wa kutengeneza website anatafutwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtaalam wa kutengeneza website anatafutwa

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mhafidhina, Dec 13, 2009.

 1. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wanajamii,

  Jamani natafuta mtu ambaye ni mtaalam wa kutengenza websites ikiwa ni pamoja na kuhakikisha inafanyiwa domain registration, inaweza kupatikana kwenye google search na pia nitaweza kutegeneza emails kutumia jina la hio website.

  Muhimu ni kuweza kutengenza kwa kuweka graphics nzuri na kui-update mara kwa mara website hiyo.

  Tafadhali kama una utaalam na uzoefu wa kutengenza website kwa kiwango kizuri naomba UNI-PM then tuwasilaiane ili niweze kukupa kazi hii.
   
 2. k

  khalids19 Senior Member

  #2
  Dec 17, 2009
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  payment?
   
 3. ogm12000

  ogm12000 JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 311
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Wasiliana na Jamaa mmoja yuko reading UK ... ndio wamiliki wa nifahamishe website anaitwa Ally Lyandama yuko fit ktk masuala hayo...


  Regards
   
Loading...