Msaada wa please unahitajika! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa please unahitajika!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Papizo, Dec 19, 2009.

 1. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Wadau naombeni msaada wenu zaidi....Nadhani nimejaribu kucheck zaidi lakini nimeshindwa kufumbua problem ya hii laptop yangu ni nini...Kwanza kabisa nina problem ya internet ya kuaccess website...Natumia internet explorer,firefox,safari, na opera hizi zote ninazo lakini sielewi kwa nini mfano siwezi kufungua mfano hotmail,yahoo,facebook na baadhi ya website zingine nimejaribu kwa kufungua kutumia hizo browse ambazo nilizozitaja lakini bado inagoma kabisa nikifungua mfano nataka kuweka password na username nikiclick ok inasema kwamba Safari/firefox/opera can’t connect to the server au kuna mahali nime deny access maana sasa sijui hata nifanyeje......
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Unatumia internet Explorer version ip? 5,6,7,Au 8? fuatilia hi settup yake

  [SIZE=+3]Internet Explorer Setup[/SIZE]
  Step 1: Start by opening Internet Explorer
  [​IMG]
  Step 2 : Click on Tools then Internet Options
  [​IMG]
  < Top >
  Step 3 : On the General Tab ensure that http://www.cnetwork.com is entered in the address box under the Home page section.
  [​IMG]
  Step 4 : Under the Connection Tab ensure that CNW appears in the Dial-up and Virtual Private Network settings. Make sure CNW is listed as the Default connection. To set CNW as the default connection click on CNW to highlight it then click on the Set Default button. Make sure that Always dial my default connection has a radio button selected.
  [​IMG]
  < Top >
  Step 5 : Click on the Settings button make sure there are no options checked off on this page. Under Dial up Settings make sure that the user name box includes INET/ followed by your full CNW email address. Your password should also be entered; it only appears longer than it actually is for security reasons.
  [​IMG]
  You receive an error message in Internet Explorer: "Internet Explorer cannot display the webpage" Bonyeza hapa http://support.microsoft.com/kb/956196
   
 3. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Thanks mkubwa nashukuru kwa msaada wako...Pia nimejaribu kuidelete hiyo internet explorer 8 ili niiinstall again lakini imegoma kabisa inakaa haitaki kutoka kabisa.......Nahisi nimei denied folder sijajua ni wapi maana nikidelete inaniambia kwamba you need permission to delete this forder then destination folder access denied na nikitaka kudelete hiyo internet explorer lazima niende hapa C:/Program Files

  Sasa hapo naona inabidi nifahamu wapi sijui nitaweza kutatua hii problem..

  Pia nimejaribu kufatilia hizo step ulizonipa zimekataa na nimefatilia na zile zingine za microsoft pia lakini zimekataa pia!
   
Loading...