Je mwaijua Latex (Kwa ajili ya kuandikia report)? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je mwaijua Latex (Kwa ajili ya kuandikia report)?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ogm12000, Dec 17, 2009.

 1. ogm12000

  ogm12000 JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 311
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Habari zenu wana JF?

  Kuna program moja inaitwa Latex kwa ajili ya kuandikia report kama vile dissertation/Project na article na vitabu vile vile...

  Hii ni program unaandika ktk txt form halafu yenyewe inaproduce pdf format. Sio lazima uwe programmer ili kutumia program hii.. Mtu yeyote anaweza kutumia.. Vile vile kwa wale wanaosoma department kama za Engineering/physics/Mathematics hii program inaweza kuwafaa sana.. Ilini chukua siku mbili tu kuweza kuanza kuitumia na unaweza kujifunza kuitumia kadri siku zinavyokwenda. Unaweza kuingia ktk forums mbalimbali pindi unapopata tatizo fulani... Kwa mfano kama unataka ku insert picha au table na mengineyo.
  mfano wa hiyo program ni huu hapa chini;
  % hizi zilizo andika usepackage ni default ambazo zimokwenye program au
  %unaweza uziadd.
  \documentclass[a4paper,11pt,onecolumn,oneside]{book}
  \usepackage{amsfonts, amsmath, amssymb, amsthm}
  \usepackage[dvips]{graphicx}
  \usepackage{dcolumn,multirow,longtable}
  \usepackage{subfigure}
  \usepackage{setspace}
  \usepackage{fancyhdr}
  \usepackage{pst-all} % ps-tricks
  \usepackage[scanall]{psfrag}
  \usepackage{hyperref}
  \begin{document} % hapa ndipo unapoanza document
  \tableofcontents % hii itasaidia generate table of content
  \listoftables % hii itasaidia list Table
  \listoffigures % hii itasaidia ku list figure
  \begin{abstract}
  %andika abtract yako hapa
  \end{abstract}
  \chapter{utangulizi} % unaanza chapter
  \section{kitu fulani}
  \subsection{kitu fulani}
  \input{references}% kama utakuwa umeiandika kwenye file lingine basi
  %unaweza kuiinclude hapa
  \end{document}
  Kuna mambo mengi mengi ambayo siwezi kuyaeleza yote..
  Ukishamaliza kuandika unacompile then unapata PDF....
  Nimeattach mfano wa pdf ambayo unapata baada ya kucompile...
  Kwa mwenye mpango wa kujifunza asisite kuuliza .

  Regards...
   

  Attached Files:

Loading...