Setting an Intranet

Wanzuki

Senior Member
Apr 8, 2009
115
13
Hello wana JF

Nina Cisco Catalyst 500 series switches kwenye LAN yangu. Kwa vile sina Internet connectivity, nimevuta cable moja kutoka kwenye switch na kujiunga na network nyingine yenye Internet.

Kwa vile administrative power yangu inaishia kwenye Cisco switches zangu, je, can I create an Intranet ambayo haitakwenda beyond my Cisco switches? Any one who knows please help!
 
Kwa vile una network zaidi ya moja utahitaji kuwa na router ya ku-route packet btw hizo network.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom