Kila Mtu Kusafiri Kwa Ndege Yake Mwenyewe...
Ndege ya mtu mmoja "Puffin" inavyokuwa ikiwa anganiMonday, January 25, 2010 8:37 PM
Muda si mrefu kila mtu atakuwa na uwezo wa kumiliki ndege na...
Wakuu,kuna mdau alinitumia e mailna tatizo moja,hivyo nimeamua kushare na wengine kwani ndani ya AF tunaongelea matukio yanayotokea kwa wakati wa sasa.
swali lilikuwa kama hivi..
Hi...
Taking on Google Maps in the navigation space, Nokia introduced on Thursday a version of its Ovi Maps application for Nokia smartphones, offered at no extra cost.
The new version of Ovi Maps...
Huduma hii ikiwa imezinduliwa mwaka jana tu tayari ina wafuasi zaidi ya elfu ishirini(20,000) na wengine wanaongezeka kila siku kwa kasi. Imeshasaidia watu wengi kupata kazi kirahisi kutumia simu...
Wazee kuna mtu ana experience na hii technology, kwa maana ya horse-mouth experience??
Nashawishika kuwekeza kidogo huku inshallah kama hali itaruhusu.
http://www.microsoft.com/surface/Default.aspx
Kwa watumiaji wa mtandao wa Selcome hembu mtujuze kuhusu huu mtandao,nimeona bei zake ziko poa kwa kutumia vocha zao za Uhuru one unaweza kurecharge kwa saa kwa shilling elfu moja na masaa...
Hi Team
Nimekuwa Niki surf kwenye internet kuangalia version mpya za computer na specification zake.
Kuna Hizi RAM Mpya kwangu na sijui utofauti wake ni upi...DDR,DDR2,DD3...4GB DDR2 memory ...
Hi!! to all!! Happy new year
Please!! Please!!!
I'm very far please!!! any one send to me Window XP Professional Product Key
Nipo mbali Tafadhali mtu yoyote anitumie Kii za window XP...
Heshima mbele wakulu, natumia TTCLBB, Lakini mtindo inaonifanyia sijaupenda! nikiwa nadownload file zinashusha fine, lakini baada ya kama dakika 20 hv connection inareset, hivo downloading...
Can you catch a cheating spouse
by tracking their cell phone?
.
Know how to track phone number: Visit
http://www.themobiletracker.com/english/index.html
Kivinjari ni Programu ya Kompyuta inayotumika kwa ajili ya kutembelea wavuti kwenye tovuti mbalimbali ndani ya mitandao mbalimbali duniani kama hichi unachosoma wewe saa hizi programu uliyotumia...
Baadhi ya nchi zinatarajia kushuhudia tukio hili ambalo ni adimu na watalii wengi husafiri kwenda tukio liliko.
Kwa maelezo zaidi unaweza kutembelea HAPA