Microsoft Surface | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Microsoft Surface

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Abdulhalim, Jan 22, 2010.

 1. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Doh, kumbe nipo peke yangu. Inaonekana wanaJF wengi ni wazee wa kukaanga sumu kule kwenye sihasa na wapenzi wa madude pirated.
   
 3. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #3
  Jan 23, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Ndio ujue sasa
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Nijue nini ??
   
 5. K

  Kimweri JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2010
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 3,998
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Microsoft surface is a one of breakthroughs in INNOVATION that are still ahead of time as we speak,i had a chance of testing it a year ago in a lab situation in Taipei,and i must say i was impressed.They have several prototypes in one of the HTC research labs there,nia yao ni kutengeneza ecosystem ya embedded devices,that will interact like a human ecosystem.

  Back then they used to charge HTC phones by leaving it on the table,sycn music,calendar task by just putting you laptop or phone on top of the surface.more impressive is the backend(dirty)usability of this thing..,it could replace a lot of equipments in hospital operating rooms,putting a needle,glove etc you have blood samples misanalysed etc..,as you said,you have to see it to believe it!

  It doesn't do much for now that has never been done before..,it just does it in such a sensible and simpler way you ask yourself WTF!why didn't they think of this?!

  give it a few years..,when intel and other players sort their issues we will have amazing technologies in our conference rooms,business lounges,etc..and may be after 2 years we will see it in avg joe's homes..,since now it is so much of a niche product..,
   
 6. g

  geek Member

  #6
  Jan 23, 2010
  Joined: Feb 12, 2009
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  interest ya kujadili teknolojia ni ndogo hapa JF, posts nyingi zinazungumzia jinsi ya kupata keys au license ya products. Lakini hatuna reviews za technology kufahamu product fulani inafanyeje kazi, strength na weakness etc.

  That probably tells you something about Tanzanians. Nitatoa mfano, according to Google, UTAMU was top of the rising searches in 2009 - according to Google Insights - for computers with IP addresses based in Tanzania, at a growth rate of 750%.

  Michuzi was number 3 among Top searches in 2009, and it still is among top 7 this year.

  I tried to compare with what's going in the minds of neighbours, I was not surprised to see keywords such jobs, scholarships were among the top. It's a problem, a serious problem kwetu watanzania, kama unajua kutafsiri data hizi unaelewa ni kwanini tunatimuliwa vumbi na jirani zetu.
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  He he ..kweli mzee..

  Unajua mimi natumia google.co.tz. Unapoanza kutype kitu unachotafuta guesswords zinazokuja utashangaa sana. Lakini ndio hivyo tulivyolelewa, watu wa kupenda starehe,njia za mkato na ujanjaujanja wa mjini.
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ni kweli kwa sasa its kinda limited to few people.
  Nasubiria kwa hamu huduma zitakaposambaa, lakini nimependa kusikia kwanza kwa wajanja wenyewe wanasemaje na edge gani itakuwa available kuzidi mashine za kawaida.
   
 9. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Usiende mbali hata katika usomaji wa magazeti,magazeti yanayongozwa kwa kusomwa ni magazeti ya udaku kutoka Global Co ya mlokole Shigongo ,taarifa za utafiti uliofanywa na kampuni ya utafiti wa masoko ya Steadman imetanabaisha hivyo wakati hapo jirani magazeti yanayoongoza kwa kusoma ni magazeti ya Daily Nation na The Standard na si magazeti ya udaku sasa fikiria hiyo hali maarifa tutapataje kama hatuko serious wacha tusubiri kushusha software za bure kwani ndiiko tulikofikia,sana sana tugombee tu ajira za kisiasa tuwe madiwani,wabunge,wenyeviti wa mitaa lakini swala la tafiti sahau tunabaki end user tu
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Ni Ukosefu wa elimu na elimu yetu ipo chini sana ukilinganisha na majirani zetu kenya na Uganda wao wapo juu kielimu watu wa hapo bongo wanapenda Ubunge ,Siasa,Udiwani,Uenyekiti wa chama fulani,Tunasahau kujifunza mambo yanayohusu Computer ipo kweli kazi tataendelea jamani? au ndio kudidimia huko kwa Mtanzania? Miafrika Bwana ndivyo ilivyo.
   
 11. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  bra MM hujakosea kitu hapa, ur rite kabisa
   
 12. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona tena wana JF mnabaki sana kujadili nini hatuwezi na udhaifu mwingine mnaacha kufafanua kuhusu

  "Microsoft Surface"

  hoja iliyoletwa mezani. Kama imetushinda basi tujadili Technolojia tuzijuazo hapa Bongo kama
  Kuruka kwa ungo mpaka Ulaya (Majuu!) au Bondeni kwa mzee Madiba bila Pasipoti!
  na Mateknolojia mengi mengine makali makali!.
   
Loading...