Huduma ya kutafuta kazi kwa kutumia simu (Kazi Mobile) yaonyesha mwanga Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huduma ya kutafuta kazi kwa kutumia simu (Kazi Mobile) yaonyesha mwanga Tanzania

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by justdoit, Jan 24, 2010.

 1. j

  justdoit Member

  #1
  Jan 24, 2010
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Huduma hii ikiwa imezinduliwa mwaka jana tu tayari ina wafuasi zaidi ya elfu ishirini(20,000) na wengine wanaongezeka kila siku kwa kasi. Imeshasaidia watu wengi kupata kazi kirahisi kutumia simu ya mkononi tu.Huduma hii ni kwa masaa 24.

  Ushuhuda:
  John Fransis [QUOTE]
  "Nashukuru sana kwa kuwepo kwa huduma hii kwa sababu nilikuwa nimeshakata tamaa kununua magazeti kila siku. Mda mwingine niliweza kununua magazeti hata matano kwa siku (Zaidi ya shilingi 2,000) bila kupata aina ya kazi ninayohitaji. Lakini kwa kutumia huduma hii niliweza kutumiwa aina ya kazi niliyoomba kwa shilingi 150 tu.Na nilikuwa nina uwezo wa kusema sihitaji tena huduma hii mda wowote na kujiunga tena pindi ninapohitaji.Mwanzo nikuwa sihamini kama ninaweza pata nafasi za kazi katika simu yangu lakini nilipojaribu niliona inasaidia sana kuokoa mda na fedha.Badala ya kupokea message ambazo hazina faida maishani kwangu nilipata nafasi za kazi.Sasa hivi nina kazi yangu kama Mkaguzi wa Mahesabu ya Ndani na ninawashauri wanaotafuta kazi kujiunga na huduma hii.Huduma hii imebadilisha maisha yangu"

  Kujiunga ni rahisi: Kwa kutumia simu yako unajisajili kwa kufuata maelekezo haya: Kazi/Job (acha nafasi ) aina ya kazi halafu unatuma kwenda 15522
  Mfano:KAZI Uhasibu halafu unatuma kwenda 15522.
  Baada ya hapo utakuwa unapokea nafasi za kazi(job vacancies) kila mara zitakapokuwepo mpaka hapo utakapojitoa kwa kuandika kazi stop au stop kazi au stop job. Kila message utakayotumiwa ni shilingi 123+VAT .Nafasi zaa kazi utakazotumiwa ni mpya kutoka kwa waajiri.

  Aina ya message utakayotumiwa ni kama hii:

  NAFASI YA KAZI:MHASIBU
  Sifa:Shahada ya kwanza ya Uhasibu,Awe amesajiliwa na NBAA,Ujuzi wa Kompyuta
  Maombi:Mwenyekiti,TAZARA SACCOS LTD,BOX 40929,DSM
  Mwisho:15/01/09

  AU

  ACCOUNTANT II
  Education: Degree/Adv Diploma in Accountancy,3yrs experience
  Handwritten application:The C.E.O/Admin General,RITA,Box 9183,DSM
  Deadline:04/02/2009

  Masharti na kanuni vinazingatiwa
   
 2. D

  DrMosha Member

  #2
  Jan 24, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hii ni kwa wanao tafuta kazi. Je waajiri wanaweza je kutumia huduma hii? Ina confidentiality?
   
 3. j

  justdoit Member

  #3
  Jan 24, 2010
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Asante kwa kusoma habari hii. Well, waajiri wanaweza kuitumia kwa maslahi makubwa sana.Wapo tayari wanaoitumia kwa sasa.Kumbuka nina wafuasi zaidi ya elfu ishirini (20,000) na wanaongezeka kila kukicha. Kwa hiyo unaona jinsi waajiri wanaweza tumia hii fursa. Haina confidentiality yoyote,ndo maana hutangazwa TBC mara kwa mara ! Ina baraka za serikali (legal service ).

  Asante !
   
 4. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  no comment
   
Loading...