Useful run commands

Abdulhalim

Platinum Member
Jul 20, 2007
17,193
3,011
Mazee, I aint one of those gurus, I stumbled upon this one and hope you'll find this useful. Cheerz!

To Access…. Run Command

Accessibility Controls access.cpl
Accessibility Wizard accwiz
Add Hardware Wizard hdwwiz.cpl
Add/Remove Programs appwiz.cpl
Adobe Acrobat (if installed) acrobat
Adobe Designer (if installed) acrodist
Adobe Distiller (if installed) acrodist
Adobe ImageReady (if installed) imageready
Adobe Photoshop (if installed) photoshop
Automatic Updates wuaucpl.cpl
Bluetooth Transfer Wizard fsquirt
Calculator calc
Certificate Manager certmgr.msc
Character Map charmap
Check Disk Utility chkdsk

Clipboard Viewer clipbrd
Command Prompt cmd
Component Services dcomcnfg
Computer Management compmgmt.msc
Control Panel control
Date and Time Properties timedate.cpl
DDE Shares ddeshare
Device Manager devmgmt.msc
Direct X Control Panel (If Installed)* directx.cpl
Direct X Troubleshooter dxdiag

Disk Cleanup Utility cleanmgr
Disk Defragment dfrg.msc
Disk Management diskmgmt.msc
Disk Partition Manager diskpart
Display Properties control desktop
Display Properties desk.cpl
Display Properties (w/Appearance Tab Preselected) control color
Dr. Watson System Troubleshooting Utility drwtsn32
Driver Verifier Utility verifier
Event Viewer eventvwr.msc
Files and Settings Transfer Tool migwiz
File Signature Verification Tool sigverif
Findfast findfast.cpl
Firefox (if installed) firefox
Folders Properties control folders
Fonts control fonts
Fonts Folder fonts
Free Cell Card Game freecell
Game Controllers joy.cpl
Group Policy Editor (XP Prof) gpedit.msc
Hearts Card Game mshearts
Help and Support helpctr
HyperTerminal hypertrm
Iexpress Wizard iexpress
Indexing Service ciadv.msc
Internet Connection Wizard icwconn1
Internet Explorer iexplore
Internet Properties inetcpl.cpl
Internet Setup Wizard inetwiz
IP Configuration (Display Connection Configuration) ipconfig /all
IP Configuration (Display DNS Cache Contents) ipconfig /displaydns
IP Configuration (Delete DNS Cache Contents) ipconfig /flushdns
IP Configuration (Release All Connections) ipconfig /release
IP Configuration (Renew All Connections) ipconfig /renew
IP Configuration (Refreshes DHCP & Re-Registers DNS) ipconfig /registerdns
IP Configuration (Display DHCP Class ID) ipconfig /showclassid
IP Configuration (Modifies DHCP Class ID) ipconfig /setclassid
Java Control Panel (If Installed) jpicpl32.cpl
Java Control Panel (If Installed) javaws
Keyboard Properties control keyboard
Local Security Settings secpol.msc
Local Users and Groups lusrmgr.msc
Logs You Out Of Windows logoff
Malicious Software Removal Tool mrt
Microsoft Access (if installed) access.cpl
Microsoft Chat winchat
Microsoft Excel (if installed) excel
Microsoft Frontpage (if installed) frontpg
Microsoft Movie Maker moviemk
Microsoft Paint mspaint
Microsoft Powerpoint (if installed) powerpnt
Microsoft Word (if installed) winword
Microsoft Syncronization Tool mobsync
Minesweeper Game winmine
Mouse Properties control mouse
Mouse Properties main.cpl
Nero (if installed) nero
Netmeeting conf
Network Connections ncpa.cpl
Network Setup Wizard netsetup.cpl
Notepad notepad
Nview Desktop Manager (If Installed) nvtuicpl.cpl
Object Packager packager
ODBC Data Source Administrator odbccp32.cpl
On Screen Keyboard osk
Opens AC3 Filter (If Installed) ac3filter.cpl
Outlook Express msimn
Paint pbrush
Password Properties password.cpl
Performance Monitor perfmon.msc
Performance Monitor perfmon
Phone and Modem Options telephon.cpl
Phone Dialer dialer
Pinball Game pinball
Power Configuration powercfg.cpl
Printers and Faxes control printers
Printers Printers Folder

Private Character Editor eudcedit
Quicktime (If Installed) QuickTime.cpl
Quicktime Player (if installed) quicktimeplayer
Real Player (if installed) realplay
Regional Settings intl.cpl
Registry Editor regedit
Registry Editor regedit32
Remote Access Phonebook rasphone
Removable Storage ntmsmgr.msc
Removable Storage Operator Requests ntmsoprq.msc
Resultant Set of Policy (XP Prof) rsop.msc
Scanners and Cameras sticpl.cpl
Scheduled Tasks control schedtasks
Security Center wscui.cpl
Services services.msc
Shared Folders fsmgmt.msc
Shuts Down Windows shutdown
Sounds and Audio mmsys.cpl
Spider Solitare Card Game spider
SQL Client Configuration cliconfg
System Configuration Editor sysedit
System Configuration Utility msconfig
System File Checker Utility (Scan Immediately) sfc /scannow
System File Checker Utility (Scan Once At Next Boot) sfc /scanonce
System File Checker Utility (Scan On Every Boot) sfc /scanboot
System File Checker Utility (Return to Default Setting) sfc /revert
System File Checker Utility (Purge File Cache) sfc /purgecache
System File Checker Utility (Set Cache Size to size x) sfc /cachesize=x
System Information msinfo32
System Properties sysdm.cpl
Task Manager taskmgr
TCP Tester tcptest
Telnet Client telnet
Tweak UI (if installed) tweakui
User Account Management nusrmgr.cpl
Utility Manager utilman
Windows Address Book wab
Windows Address Book Import Utility wabmig
Windows Backup Utility (if installed) ntbackup
Windows Explorer explorer
Windows Firewall firewall.cpl
Windows Magnifier magnify
Windows Management Infrastructure wmimgmt.msc
Windows Media Player wmplayer
Windows Messenger msmsgs
Windows Picture Import Wizard (need camera connected) wiaacmgr
Windows System Security Tool syskey
Windows Update Launches wupdmgr
Windows Version (to show which version of windows) winver
Windows XP Tour Wizard tourstart
Wordpad write
 
Useless command prompts.

Ukisha enter hiyo command inakurudisha kwenye GUI kama kawaida. Sasa kwa nini nihangaike kufungua line command na kutype mistari kwenda kwenye control panel, kwa mfano, wakati nina ki button cha control panel kwenye desktop au start menu naweza kukibonyeza in a split second?

Nilidhani ni exhaustive list ninayoweza kuitumia wakati GUI ya windows ime crap out. Sasa DOS ya nini kama GUI inafanya kazi? Tusirudishane mwaka '82.
 
Mazee hujalazimishwa kutumia hizi commands wala kusoma hii post. Hivyo kama unaona ni za mwaka 80s fine enough ila acha sisi wataaluma tunaojua tukifanyacho tukamue mazee.

Peace.
 
Kutoka na post yako, naweza kusema you are just a very basic computer user na ndo maana unaziona sio useful.

Watu wengi sana wana log-in kama administrators, au kutumia account ambayo ina privileges za admnistrator, kitu ambacho kinasababisha watu wengi kusumbuliwa na viruses, trojans etc, ambao they are even more malicious wakiku-attack wakati ume log in kama administrator.

Kwa watu wanaojua matumizi mazuri ya administrator and limited user accounts, they normally wouldn't use administrator privileges unnecessarily!

Kwa mfano, mimi huwa natumia limited user account almost all the time. If I want to do something that needs administrative privileges, I wouldn't have to switch to administrator account but use commands to launch that program under administrator account:

Mfano: Kama ume log-in kama limited user, na unataka ku uninstall program fulan kwenye control panel, unaweza ukatumia short-cut hii:

runas /u:administrator cmd
rundll32 shell32.dll,Control_RunDLL appwiz.cpl

Hivyo kwa staili hii, ni lazima uzijue commands na sio kwa ku click-tu na ndo maana list ya mwana ndugu mwenzetu is very useful!
 
Mazee hujalazimishwa kutumia hizi commands wala kusoma hii post. Hivyo kama unaona ni za mwaka 80s fine enough ila acha sisi wataaluma tunaojua tukifanyacho tukamue mazee.

Kama mimi "sijalazimishwa" kutumia hizo techniques na wewe hujalazimishwa kusoma posti yangu.

Unajiita "mtaalam," mtaalam unashindwa ku confront ka point kadogo tu kwamba hii command line prompt list ni useless. Useless kwa sababu haiko exhaustive, utalazimika kutumia, inakurudisha kutumia, GUI.

The whole point ya DOS-based cmd line ni kuwa na alternative ya GUI. Command line ya nini kama ninaanza nayo halafu inanibidi tena nitumie GUI, kwa nini nisianze kabisa ku press ki icon cha program kwenye desktop nijue moja? Maana nikitumia cmd line kufungua hiyo program narudi huko huko kwenye graphic interface.

List siyo exhaustive, ni retrograge techniques, za mwaka 1980, useless.
 
Jamani hamuwezi bishana bila kutumia lugha kali mnapoteza maana kabisa ya Technology and Science forum...uku watu hawana maneno mengi...na kila post inakuwa kwenye lengo la kufundisha....maneno ya upupu,sijui useless why?

Dilunga anajaribu kuona kwanini itumike CMD wakati inakupeleka kwenye kitu ambacho unaweza ku access kwa namna ingine...mgebisha kuweka umuhimu wa zote hizo kwetu sisi ingekuwa vyema sana....zaidi ya kuangaliana uwezo wa mmoja wenu kuelewa...ni usefull post sana kwa watu ambao hatukumia DOS....please stick kwenye point tu.

Ni mtizamo tu wandungu.
 
Mazee samahani sana kama nimekukwaza kwa namna yeyote ile, nipo chini ya miguu yako.

E bwana e, mi sio mdau sana kwenye hivi vitu ila napenda sana kutumia command prompt since back to college nilipokuwa natengeza viji-application vya uongo na kweli. Hivo command prompt naifagilia tu na naona nipo comfortable nayo kimtindo, personally, na naona inakuwa sometime ize and shorter to get things done.

Pili nimekuwa nikitumia Windows za Lugha tofauti na kingereza, na nnapokwama kitu flani nimekuwa sina ujanja zaidi ya kutumia command prompt maana bila hivyo inakuwa bila-bila mazee kwa sababu ukiingia kwenye Control Panel na mambo mengine yanakuwa ktk lugha kushoto, hivo DOS inakuwa inanitoa kidizaini mazee.

Tatu, sio kila cmd command inakupeleka kwenye GUI au ina GUI version kama mkaanga sumu hapo juu anavodai. Kuna mambo utafanikiwa kuyafanya ukiwa kwenye command prompt tu ambayo hutokuta GUI mazee (Citation needed..LOL). Kwa sababu yeye Kuhani amezoea kutumia PC yake kwa vitu basic anadhani yeye ni SI unit na aki-conclude jambo basi watu wengine waitikie.

Pia mdau hapo juu ameeleza jinsi gani unaweza ukafanya mambo yako bila kuwa na access ya admin kupitia command prompt ambapo GUI hutoweza mazee.

Ok, tuchangie kwa kujenga mazee.

Cheers.
 
Last edited:
Teh teh teh mtatoana mijicho bure.

Mazee hapa hatolewi mtu jicho wala nini. Tunaelimishana mwenye kufaidika atafafaidika, kama mtu unaona ishu haikuhusu au maji ya shingo, kula kona polepole inaruhusiwa sio lazima kumwaga upupu..au sio mazee? Ila kama kawaida tumeshazoea, kwenye msafara wa mamba kenge wapo vilevile mazee, na wanapaza sauti zao kivile kuliko hata mamba wenyewe..

Cheers.
 
Mkuu,
kama ulishawhi sumbuliwa na computer utajua umuhimu wa cmd line, hii ndo sababu mpaka leo hii mzee mzima huko seattle anaendelea kuiweka katika OS zake. Mfano mmojawapo ni pale unapotaka kufanya recovery windows inapogoma kufanya kazi.
 
Useless command prompts.

Ukisha enter hiyo command inakurudisha kwenye GUI kama kawaida. Sasa kwa nini nihangaike kufungua line command na kutype mistari kwenda kwenye control panel, kwa mfano, wakati nina ki button cha control panel kwenye desktop au start menu naweza kukibonyeza in a split second?

Nilidhani ni exhaustive list ninayoweza kuitumia wakati GUI ya windows ime crap out. Sasa DOS ya nini kama GUI inafanya kazi? Tusirudishane mwaka '82.

Usipende kudandia treni kwa mbele. kama we ni mtumiaji tu wa IT na sio expert bora unyamaze wakati wanaojua nini wanakiongea wanaongea. Hizo command prompt ndo zinawawezesha ma expert kufanya kazi zao nyingi. Bila kujua hizo command unakuwa limited katika ufanyaji wako kazi kama wewe ni mtaalamu wa IT. Ila kama wewe ni layman then ukae utulie tu mjombaa acha kuuzunguka mbuyu ha ha ha.
 
Mfano: Kama ume log-in kama limited user, na unataka ku uninstall program fulan kwenye control panel, unaweza ukatumia short-cut hii:

runas /u:administrator cmd
rundll32 shell32.dll,Control_RunDLL appwiz.cpl

Okay kwa hiyo unasema faida yake ni kwamba unatumia short cut ku log kama admin na kuingia control panel.

By the time wewe unafungua run cmd, una type hiyo mistari na mikwaju na minukta na miherufi, mimi nimesha ingia start menu, switch user, control panel - kwa kubonyeza tu, split second.

Halafu mimi sihitaji ku log in with limited user account kwa sababu 1) Vista inasumbua sana access policy zake kama sio admin. 2) Nimejizatiti na anti-malware (Webroot, AVG, native Window Defender), na ukichanganya na inherent stability ya Vista lenyewe system yangu iko super stable, I almost never have to worry about some sneaky malware. Na nikiwa attacked ninaweza ku recover in a matter of seconds, nina run ERUNT ambayo inaweza ku run bila windows kama windows liki crap out, na buti bios naingia ERUNT na restore registry in seconds, kwishne. I don't never have to worry about no malware.

Eti hutumii administrator account halafu unarudi kwenye runas /u:administrator cmd. Yale yale! Hakuna tija.
 
Last edited:
Jamani hamuwezi bishana bila kutumia lugha...

Dilunga anajaribu kuona kwanini itumike CMD wakati inakupeleka kwenye kitu ambacho unaweza ku access kwa namna ingine...mgebisha kuweka umuhimu wa zote hizo kwetu sisi ingekuwa vyema sana....

Hawawezi ku dili na changamoto hawa, hawajazoea challenges kwa sababu wanaitwa ``wataalam.``

Mtaalam mmoja kapata hasira mpaka ameweka mtego wa command line ya kupotosha watu wafute mafaili yao yote kwenye computer, eti ukitaka command zaidi, tumia del*.* DO NOT, DANGER!

Hivi watu wasiojua hatari za hiyo cmd line wakaiingia mkenge na kufuta computer nzima na mafail ya kazi/shule je, itakuwaje? Kuna watu hawana utu jama.
 
Okay kwa hiyo unasema faida yake ni kwamba unatumia short cut ku log kama admin na kuingia control panel.

By the time wewe unafungua run cmd, una type hiyo mistari na mikwaju na minukta na miherufi, mimi nimesha ingia start menu, switch user, nimeenda start menu, control panel - kwa kubonyeza tu, split second.

Mazee inaonekana bado unaishi kwenye box lako. Sielewi hata unachobisha na kujifaragua. Mdau ametoa otpion kuwa kama unaweza kufanya mambo ya ziada ukiwa familiar na hizi commands. badala ya ku-appreciate hoja wewe unaanza kuleta longolongo za ku-switch user. Utaswitch user vipi kama account ya Admin imekuwa encrypted na password mazee?

Halafu mimi sihitaji ku log in with limited user account kwa sababu 1) Vista inasumbua sana access policy zake kama sio admin. 2) Nimejizatiti na anti-malware (Webroot, AVG, native Window Defender), na ukichanganya na inherent stability ya Vista lenyewe system yangu iko super stable, I almost never have to worry about some sneaky malware. Na nikiwa attacked ninaweza ku recover in a matter of seconds, nina run ERUNT ambayo inaweza ku run bila windows kama windows liki crap out, na buti bios naingia ERUNT na restore registry in seconds, kwishne. I don't never have to worry about no malware.

Eti hutumii administrator account halafu unarudi kwenye runas /u:administrator cmd. Yale yale! Hakuna tija.

Mazee hapa tatizo sio wewe Dilunga kuwa unahitaji au hauhitaji kuingia kupitia limited user account. Ishu iliyopo hapa ni kwamba unaweza kufanya mambo ya ziada kwa kutumia upenyo ambao command prompt inautoa. Mapenzi yako ya kutoingia, Window Vista yako, ERUNT, malware sijui nini havitupi elimu kuhusiana na mada husika mazee.

Cheers.
 
Mtaalam mmoja kapata hasira mpaka ameweka mtego wa command line ya kupotosha watu wafute mafaili yao yote kwenye computer, eti ukitaka command zaidi, tumia del*.* DO NOT, DANGER!

Bua ha ha..Kamanda Kuhani sometimes huwa unanichekesha sana. Kumbe wewe ni slow learner kinyama halafu unajitia uelewa..Nilikuwekea hiyo special kwa ajili yako kwa sababu ya kujitia ujuaji.
 
Bua ha ha..Kamanda Kuhani sometimes huwa unanichekesha sana. Kumbe wewe ni slow learner kinyama halafu unajitia uelewa..Nilikuwekea hiyo special kwa ajili yako kwa sababu ya kujitia ujuaji.

Uku wanapita watu wengi sana na wanao taka kujifunza....kuweka comand ambayo itafuta mafile kwa mtu asiye jua....ni balaa jamani...nimeiona nikawa nataka ku andika lalamiko sasa hivi afadhali dilunga umelitaja...please tujenge...
 
... Utaswitch user vipi kama account ya Admin imekuwa encrypted na password mazee?

Mtumeeee!

Kumbe kujifanya ``mtaalam`` kwote huko unadhani kwamba cmd line ya runas /u:administrator cmd inaweza kuzunguka blocked access to admin account yenye encrypted password?

Kwa hiyo ukiwa kwenye komputer za shirika ukataka ku hack into the system as an admin all you have to do to break in si to run runas /u:administrator cmd ? E bwana kuna ``wataalam`` kanjanja humu... Uuuuuuiiiiiiiii!
 
Uku wanapita watu wengi sana na wanao taka kujifunza....kuweka comand ambayo itafuta mafile kwa mtu asiye jua....ni balaa jamani...nimeiona nikawa nataka ku andika lalamiko sasa hivi afadhali dilunga umelitaja...please tujenge...

Kweli kabisa, balaa kubwa. Lakini naona mods wamesha iondoa (baada ya siku nzima, na kupewa alerts lukuki).

Watu wanataka kujadili na kushare pros and cons za technology mtu anaweka cmd line ya kufuta data zote za pc ya mtu. Si afadhali umtukane mara mia kuliko kujaribu hujuma ya kumuingiza mtu mkenge kama huo.
 
Mtumeeee!

Kumbe kujifanya ``mtaalam`` kwote huko unadhani kwamba cmd line ya runas /u:administrator cmd inaweza kuzunguka blocked access to admin account yenye encrypted password?

Kwa hiyo ukiwa kwenye komputer za shirika ukataka ku hack into the system as an admin all you have to do to break in si to run runas /u:administrator cmd ? E bwana kuna ``wataalam`` kanjanja humu... Uuuuuuiiiiiiiii!

Sasa mboni unazidi kuharibu hata vijipwent vyako vichache ulivyoweka mazee.

Mazee literally i can, (not exactly as with your silly insinuation and over simplification ,lol) depending on the farewell, BIOS setting etc , and of course with some skills and knowledge of commands, useful run commands, to be exact.

Sasa kama unataka twisheni sema tu babu Kuhani.
 
Uku wanapita watu wengi sana na wanao taka kujifunza....kuweka comand ambayo itafuta mafile kwa mtu asiye jua....ni balaa jamani...nimeiona nikawa nataka ku andika lalamiko sasa hivi afadhali dilunga umelitaja...please tujenge...

Ok mazee tunaendela kujenga:

To get the information about basic commands vailable under cmd; proceed as follows:

1. 'Start' option
2. 'Run'
3. 'cmd'
4. 'prompt cmd'
5. 'help'

A list of common and most basic commands will appear.

NB: For Windows 2000, XP,Vista, Server 2003 and Server 2008
 
Back
Top Bottom