Buswelu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 1,998
- 352
Hi Team
Nimekuwa Niki surf kwenye internet kuangalia version mpya za computer na specification zake.
Kuna Hizi RAM Mpya kwangu na sijui utofauti wake ni upi...DDR,DDR2,DD3...4GB DDR2 memory ?
Naomba kama kuna mtu mwenye ujuzi wa hizi tofauti za RAM.Hasa ukiangalia kwenye Tovuti.
Regards