matatizo ya path kwenye GNS3

Kilongwe

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
423
115
Wakuu,kuna mdau alinitumia e mailna tatizo moja,hivyo nimeamua kushare na wengine kwani ndani ya AF tunaongelea matukio yanayotokea kwa wakati wa sasa.

swali lilikuwa kama hivi..

Hi Kilongwe,nimeload router kwenye GNS3, nimetumia 7200series,then nikasave kama kawaida,ila sasa nikija kufungua ile topology yangu niliyosave nakutana na haka kamdudu,

206-unable to create UDP NIO.

Inakuwaje kaka??

Hili mara nyiingi linasababishwa kama unatumia GNS3 version za zamani pia kama unatumia computer ambayo Operating language sio Unicode,eg Kichina,kikorea,kirusi nk
Unachotakiwa kufanya ni
1.kuhakikisha unakuwa na straight Path za IOS na Working Directory kama kwenye picha inavyoonesha.





2.kama IOS image zina characters nyingi za ajabu,basi rename na kuepuka kutumia any symbol,there u go kiulaiiiiini

Stay tuned kwa article ambayo nitaelezea ni jinsi gani unavyoweza kuchagua computer itakayokuwezesha kurun hata router 12 huku CPU utilization ikiwa chini ya 50% NImefanikiwa hili baada ya kupata maelekezo ya e mail toka kwa Wendell Odom,na kwa sasa ninatengeneza topology za ajabu kiasi kwamba kama ningekuwa natumia Router za ukweli ingenicost si chini ya 100Yuan kwa saa.So GNS ni money saver kwenye R&S.

Source: http://www.afroit.com/
 
Back
Top Bottom