Msaada - usb to serial port - cable

Modereta

Senior Member
Jul 24, 2008
164
17
Wakuu ninahitaji cable USB TO SERIAL PORT, KVD hawana leo, na mimi naihitaji haraka. TAfadhali.
Au naomba alternative solutions
 
una device gani ebu fafanua ndio lengo langu zaidi kwani ninatumia hapa kunabox natumia ina com 1 nina software ya kuchange ili iwe usb to com kwani laptop yangu aina connection ya com one
 
USB to serial RS 232 zinatumika for communication purpose. Laptop nyingi hazina output (COM) ya RS 232 hivyo basi unatumia USB to serial port converter. Zinapatikana kwa pound 8 mpaka 20 depending na aina gani unataka.

Kaka mimi ninanazo kama tatu hivi . Wewe uko wapi? naweza kukupa moja free cause i just need two of them for my project ila gharama za kutuma itakuwa juu yako au Unaweza kununua kupitia hii website http://uk.farnell.com/.

Unaweza nitumia private msg tukachonga zaidi

Regard
 
Back
Top Bottom