From VS Revo Group
Revo Uninstaller is a freeware innovative uninstall utility much faster than Windows Add/Remove applet. With its advanced and fast algorithm, Revo Uninstaller scans before and...
Ndugu wana jAmiiF, kama unahitaji ku unlock 3G modem yako ili uweze kutumia laini yoyote at your convinience, basi download hii soft ware. Then Chukua Imei namba ya modem yako inakili pembeni...
Haya. Tovuti ya Chadema haipo hewani. Sishangai nikiambiwa ime-crush kwa sababu ya traffic au CCM wamei-hack! Dr Slaa yuko kwenye kampeni akihamasisha pamoja na mambo mengine teknologia wakati...
Heshima kwenu wakuu! Nimependezwa na utendaji kazi wa Microsoft Reader hasa baada ya kuijaribu kwenye Asus Eee PC T91MT Tablet Netbook. Text to speech na Clear Type ni baadhi ya features...
Tamko la TCRA kuhusu ujumbe wa simu unaowachafua baadhi ya wagombea wa Uraisi 2010
Mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania, TCRA, imekiri kupata taarifa za kuwepo kwa ujumbe unaosambazwa kupitia...
Wadau, nimeshaona minara yakurushia matangazo ya redio mara nyingi kila kituo kina minara yake (sijui kama kuna vituo vina'share' matumizi ya minara hiyo).nimewahi kusoma kuwa katika mfumo wa...
Modem Booster boosts your modem speed literally from your current speed to
nearer its maximum capability. It optimizes your modem settings so that there is quick and efficient data transmission...
Utakachosoma hapo chini ni kwa ajili ya kujifunza , inawezekana hii taarifa isiweze kukudaidia wewe lakini ikasaidia mwingine na inawezekana unapojaribu kuscan vitu fulani vikafutwa au ukapatwa...
Wakuu naombeni mnipe shule kuhusu hizi tv ambazo ni flat scren za 'startimes', zikiwa na ving'amuzi tayari.
Zina ubora gani ukufananisha za za aina nyingine kama za sony na sumsung.
Nimezikuta...
Mafunzo yoyote na miongozo yoyote iliyokwepo kwenye nyaraka hii ni kwa ajili ya masomo ( kujifunza ) tumia miongozo na mafunzo mengine ndani ya nyaraka kwa ajili ya kujifunza wewe na wenzako ...
Salaam wana jamiiforums.
naomba msaada kwenu kwa wale waliobobea katika elimu ya ya Computer.
nimekuwa nikisumbuliwa na On-screen key board inajitokeza kila ninapofungua Computer yangu (Lap top)...
WanaJF wenzangu naomba kuwatahadharisha tu kuhusiana na baadhi ya members wapya wenye majina ya ajabu ajabu (hata yale ya kawaida), wanaojiandikisha mara moja na kutuma posts zinazo offer software...
Wadau habari zenu
naomba kama kuna mtu amewahi kutumia mtandao wa torrentz.com
anisaidie procedures za kufuata ili niweze kudownload music au hata movies coz
nimejaribu mara kibao nimeshidwa.
Wadau nisaidieni kuna jamaa yangu anadai mobile yake imekufa imeshambuliwa na virus
naogopa mobile yangu isije shambuliwa maana toka jf waweke mobile edition muda mwingi natumia mobile niwapo nje...
Umewai kujua ni kwa nini baadhi ya keyboard alama kam "@" haiko sehemu uliyozoea. Au alama hiyo ya @ ukiibofya inatokea alama nyingine mfano "
Tatizo hili linatokana na KEYBOARD lay out...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.