Playing Copy-protected (?) CD on a PC

Feb 6, 2009
76
70
Hello wanajamii,

Msaada -Nitawezaje kutumia CD ya muziki iliyoandikwa Copy Control Technology kwenye PC yangu? PC haitambui
 
Gurta

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
2,239
2,000
lazima itakuja na program yake ya kuicheza
ruhusu auto run afu uiweke
 
Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,943
0
Moja ya hizi njia nne inaweza kukusaidia.

 1. Kama alivyokusauri jamaa 1ja tumia program maalum kuicheza hiyo CD. soma maelekezo ya hiyo CD inatakiwa kuchezwa na program gani. then open with that specific program.
 2. Disable autoplay. Kama unatumia XP

 • Open my computer right click CD drive
 • Click on the autoplay tab
 • Select bubble in select an action to perform
 • click the big red circle with a line through it imeandikwa Take No action
3. Wataalmu wengine wanashauri
When you put the CD in, not to let it autoplay. If it autoplays and installs the drivers, however, go into the device manager. View hidden devices. Under "Non plug and play drivers", STOP and then disable the device "sbcphid."

4. Kama umetumia hela yako na bado unanyanyasika kutumia hiyo CD basi tafuta pirate version yake. Teh teh teh
 
Thanks..nimefanikiwa kuifungwa lakini tracks hazionekani. Inaelekea wameprotect and it can probably only play on Audio players. Labda kuwe na software yakuifungua or something. Actually hii yenyewe ni pirate, chinese, tunanua mitaani but it appears good quality, package and all!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom