Iphone internet configuration

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Jun 16, 2010
2,415
398
Habari wakuu,

Nina Iphone 3g ambayo sijui namna ya kupata setting zake za internet kwa mtandao wa airtel (zain) kwa yeyote mwenye kujua naomba msaada wa maelekezo tafadhali.
 
nenda kwenye duka lao na uulizie staff anayeshughulikia mambo hayo as wengine huwa hawajui na wanakuwa na mmoja au wawili tu wakuelezea watu
 
unataka kuifanya modem ili upate internet kwenye pc? simply weka on internet tethering. jinsi ya kuweka on::: nenda kwenye settings->Generals:-> network -> internet Tethering ( weka on)
 
unataka kuifanya modem ili upate internet kwenye pc? simply weka on internet tethering. jinsi ya kuweka on::: nenda kwenye settings->Generals:-> network -> internet Tethering ( weka on)

hakuna option hiyo kwenye iphone bana..tethering mpaka udownload myWi kwenye iphone yako..hiyo unayosema wewe itakuwa ya kichina
 
Umejaribu Customer care ya huko!

Nilikwenda Officen kwao wakaniambia eti na paswa kununua kifurushi cha internet ambacho watanionganisha nasho.. Ukweli ni kwamba huyu muhudumu haya mambo hayajui maana kuna rafiki yangu anatumia internet yao kama unavyo tumia kwenye nokia unakatwa salio kulingana na matumizi yako, tofauti na alivyo niambia huyu muhudumu ambaye alishindwa kutofautisha huduma ya blackberry internet (BIS) na Iphone.
 
unataka kuifanya modem ili upate internet kwenye pc? simply weka on internet tethering. jinsi ya kuweka on::: nenda kwenye settings->Generals:-> network -> internet Tethering ( weka on)

Hapana, nahitaji setting zake tu za kuniwezesha kutumia internet kwenye Iphone yenyewe.
 
Nilikuwa nahitaji kitu kama hiki hapa chini toka mtandao wa Orange

Orange GPRS Internet setup

Setting up the handset

1. On the handset, tap Settings.
2. Scroll to and select General.
3. Scroll to and select Network.
4. Select Cellular Data Network.
5. Select the APN field, and enter orangeinternet
6. Tap return.
7. Enter the username and password shown below. If no value is given, leave the field blank.
* Username :
* Password:
8. Press the home button to return to the main screen.
9. Tap Safari.
10. Tap on the address bar.
11. Enter http://orangeworld.co.uk and tap Go.
12. Wait for the page to load, then tap on the add symbol.
13. Tap Add Bookmark.
14. Enter an appropriate name for the bookmark, e.g. and tap Save.
15. Press the home button to return to the main screen.

The settings have been applied and are ready for use.
 
ok then kwenye settings->Generals:-> network -> Cellular Data Network-> kwenye APN andika neno : internet : try and post results
 
ok then kwenye settings->Generals:-> network -> Cellular Data Network-> kwenye APN andika neno : internet : try and post results

Nimejaribu mara kadhaa kufanya hivyo imegoma, nadhani APN ya zain iko tofauti kidogo
 
ok then kwenye settings->Generals:-> network -> Cellular Data Network-> kwenye APN andika neno : internet : try and post results

Hizo ndio setting sahihi mkuu na kama haifanyi huenda ni line yako imedrop from data services ambayo itabidi ui swap maana ukienda kwa wale wauza sura customer care wengi hawaelewi hawawezi kukusaidia sana.pia unaweza kwenda ktk setting-general-reset-reset network setting then rudisha hizo setting above.
 
hakuna option hiyo kwenye iphone bana..tethering mpaka udownload myWi kwenye iphone yako..hiyo unayosema wewe itakuwa ya kichina
Kwa iphone 3GS inakuwa na Internet Tethering katika settings-general-network-internet tethering ambapo you can share your iphones' internet connection na pc yako via usb cable or bluetooth.lakini kwanza wezesha line yako kwa kuhakikisha inayo huduma ya internet na pia kidogodogo kiwemo kwenye akaunti
 
Hizo ndio setting sahihi mkuu na kama haifanyi huenda ni line yako imedrop from data services ambayo itabidi ui swap maana ukienda kwa wale wauza sura customer care wengi hawaelewi hawawezi kukusaidia sana.pia unaweza kwenda ktk setting-general-reset-reset network setting then rudisha hizo setting above.

Ngoja nijaribu kufanya hivyo.... lakini mbona hii line ya zain nikiweka kwenye Nokia E71 inafanya kazi vizuri tu ? nadhani bado kuna kitu kinahitajika kwenye setting za hii Iphone.
 
ok then kwenye settings->Generals:-> network -> Cellular Data Network-> kwenye APN andika neno : internet : try and post results

na kwenye passw andika internert

kisha close na tumia net kama kawa akuna uchawi kama vp nitafute ni simple kama kumsukuma mlevi ukienda kwa wauza sura customer care watakupotezea mda
 
na kwenye passw andika internert
kisha close na tumia net kama kawa akuna uchawi kama vp nitafute ni simple kama kumsukuma mlevi ukienda kwa wauza sura customer care watakupotezea mda

Mkuu, asante sana nimefanikiwa na sasa nakula net safi kabisa, na speed yao sio mbaya sana inarizisha.
 
wazee, na mi nahitaji kutumia moderm yangu ya voda huwawei ktk airtel maana voda 2,000 unapata 50mb tu wakati airtel 2,500 wanakupa 400mb, nisaidieni niichakachue sasa hivi ili niendane na hali ngumu ya maisha.
 
ni huawei model gani?
nadhani kuna early post zinainstruct kufungua just try to search old posts
 
ni huawei model gani?
nadhani kuna early post zinainstruct kufungua just try to search old posts

vodafone mobile connect, model: k3565- rev 2, HSDPA USB Stick. kama utanipatia procedure ili niweze pia kutumia na airtel nitashukuru wakati naendelea kupekua old posts kama nitapata maelekezo huko.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom