Msaada wenu. Tafadhari.

MIUNDOMBINU

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
466
225
WAKUUU.POLENI KWA MAJUKUMU YA KILA SIKU.
COMPUTER YANGU INANIANDIKIA UJUMBE HUU "you may be a victim of counterfeiting.This copy of windows doesnt pass genuine windows validation".
Je nifanyeje ili kuondoa tatizo hili. Asanteni.
 

Baba Mtu

JF-Expert Member
Aug 28, 2008
873
225
mkuu naogopa kupiga chini coz kuna data kibao pia sina uhakika wa unachokisema labda tatizo linaweza ubakia pale pale tu.

Zinakili data zako katika cd/dvd/external hd kisha ndio uipige chini hiyo windows. Kuna kaprogram kinachoweza kuondoa hiyo meseji lakini sikushauri hivyo kwani utakosa updates za windows sababu hiyo window ni fake
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom