Sidhani, maana hivyo vitu haviendani kabisa .Net traditionally inaendana na MS SQL Server na Windows Server, although nadhani unaweza kuforce Oracle sio natural fit.
Pili hizo tatu ulizozitaja ziko wide sana .Net kuna VB, C#, Desktop, ASP, WCF,WPF,Silverlight, Windows Mobile, Windows Phone 7 etc.
Same for Oracle and Redhat. Ku-specialize itabidi uwe more specific.