Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Sony home theater bado haijakata kiu yangu katika ulimwengu wa muziki.nataka niruke na moja kati ya hizi music system Onkyo,Klipsch, marantz,Denon na Harman kardon. Nichukue brand ipi iwe alpha na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari nahitaji kujua chuo au mtu kinachotoa mafunzo ya 3d animation na vfx hapa Dar es Salaam
0 Reactions
2 Replies
677 Views
Reinstall new version of Epson easy phot print module nifanyeje msaada wadau natumia windows 10 64bit
0 Reactions
1 Replies
537 Views
Habari za asubuhi wandugu poleni kwa majukumu ya hapa na pale Mungu atawapigania Siku yenu itakuwa njema kabisa. Tuwaombee Dua wagonjwa wote waweze kupata nafuu na kurejea kwenye shughuli za...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hello bosses, Kwenye maisha mara nyingi tunaamua kufanya kitu fln au kujenga hobby fln kutokana na kuona mambo yanayotuhamasisha kufanya hivyo. Kwa wale coders, hackers au IT professionals ni...
6 Reactions
26 Replies
5K Views
Wakuu na wajuvi wa haya maphone naomben msaada jinsi ya kudownload Betpawa kwenye iPhone mana nimehangaika toka asubuhi nimeshindwa.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina samsung galax A13 haisomi lain ya TTCL na airtel msaada kwa mwenye ujuzi na hili
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari, Kila nikifuatilia tangu uzinduzi wa samsung s23 jukwaa limekua kimya sana kuhusu hizo simu mpya. Kwa maoni yenu je, Samsung wameboresha katika upande gani wa hizo simu? Au hakuna...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana JF, Kuna group la FaceBook limefunguliwa ili wanitukane naomba msaada wa kulifuta nikiwa sio memba wa group hilo. Asanteni
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Kampuni ya Apple imetoa ripoti yake ya mauzo ya robo yake ya kwanza ya mwaka 2023 iliyomalizika December 31. Roho ya mwaka ya Apple ni tofauti na robo mwaka ya nchi na makampuni mengine; Hivyo ni...
1 Reactions
6 Replies
673 Views
Nimegawa Brands katika makundi mawili. Kundi A na kundi B. Nimezingatia ukongwe au Umaarufu duniani katika makundi haya na Bei zake. A. Samsung Panasonic Sony Hitachi JVC LG SANYO ( TCL na...
2 Reactions
64 Replies
12K Views
Mnisaidie wakuu mlio na uelewa wa brands hizo.
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Jamani mwenye uelewa juu ya vitu hivi naomba anijuze kipi ni imara, kipi ni bora kuwa nacho ndani kwako.
1 Reactions
66 Replies
22K Views
Habari zenu wana Jamii forums, naomba kuuliza jinsi ya kuuconect sauti ya tiv kuja kwenye radio msaada plz
0 Reactions
13 Replies
34K Views
Wakuu nipo na tablet Nokia T20 tablet hapa, nilikuwa naistall programs kwenye hii tablets..sasa nimepata shida jinsi ya kuiafany hii tablets niweze kupokea na kupiga cimu, pia kuweza kutumia...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Salaam, Kama una uwezo wa kutengenenza 3D models unahitajika kuna task inatakiwa kufanyika, na malipo utapata baada ya kazi. Na kama utafanya vizuri, utakuwa unapewa task za mara kwa mara. Hii...
1 Reactions
7 Replies
589 Views
[INTERNET] Network Error: A connection attempt failed because the connected party did not properly respond after a period of time, or established connection failed because connected host has...
1 Reactions
4 Replies
760 Views
Wakuu naomba mwongozo hii feature inanisumbua kutumia.
1 Reactions
1 Replies
412 Views
Mwenye link ya free apk ya dls 2023 anitumie nmejaribu kuchek playstore wanauza.
0 Reactions
6 Replies
698 Views
Wakuu habari za jioni poleni/hongereni na shughuli za hapa na pale naomba kuuliza yoyote ambae ana duka la accessories za simu au anafahamu napoweza kupata hizi lightining wired earphones original...
1 Reactions
0 Replies
385 Views
Back
Top Bottom