Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kuna mdau nilikua naongea nae anasema anablog tano hadi nimeshtuka! Anasema kwa mwezi angalau kuliko alivo kua na blog moja, wadau wazoefu hili likoje?
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari za muda huu wanajamvi! Ningependa niende moja kwa moja kwa mada husika pasi na kuwapotezea muda wa kusoma makala ndefu wakuu najua mmechoka na usiku huu Nahitaji sticker za kubandika...
0 Reactions
1 Replies
624 Views
Habari wandugu, simu yangu sikumbuki niliiweka wapi jana(nilikuwa bize na mgonjwa) sasa bado inaita hadi sasa, nawezaje kuipata? maeneo nayafahau ila sijui exact place
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Alipigiwa na wale matapeli wa mitandaoni wakampiga hela kwa kujidai namba yake inafungiwa kwa sababu inatumiwa na watu wawili na pia kuna hela imekuja kwake akafata maelezo akatapeliwa. Pia, Kuna...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu nawasalimu, Miaka kadhaa iliyopita niliajiriwa, nikafungua akaunti ambayo inaniwezesha kuangalia mshahara wangu na makato mengine kwenye mshahara wangu. Imepita miaka kadhaa Sasa tangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TOFAUTI KATI YA IP CAMERA NA ANALOGY CAMERA ANALOGY CCTV CAMERA CCTV kirefu chake ni Closed-Circuit Television,Ni mfumo wa kukusanya taarifa za picha za video katika eneo Fulani kwa kutumia...
16 Reactions
27 Replies
12K Views
Mada yangu ya leo itaenda kwa wale wapiga picha za sherehe au shughuli, wauzaji wa camera pamoja na watumiaji wa Camera (sio camera za kwenye simu) Nimepanga kununua Camera kwaajili ya matumizi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni wakala wa mitandao ya simu, eneo nililopo lina wateja wengi hivyo kuna uwezekano wa kuhudumia wateja zaidi ya 150 kwa siku, shida ni kwamba huwa nakuwa na uraratibu wa kurekodi meseji zote...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari zenuu Samahani naomba kwa wenye uzoefu na ujuzi, ninataka kufunga security camera nyumbani. Naomba kujua gharama na aina nzuri kwenye recording na ambayo pia ni rahisi kutumia (kuisoma)...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Oxford Insights inayoonesha Utayari wa Serikali za Nchi 181 duniani kuruhusu Teknolojia ya Matumizi ya Akili Bandia (AI), umeiweka Tanzania katika nafasi ya 14...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari za saa hizi... Naombeni msaada wenu, Nilikua nabadili taarifa za simu yangu coz mtumiaji anaenda kuwa mwingine nilichokosea ni kucancel kabla sijamaliza kujaza detail ikawa...
0 Reactions
8 Replies
952 Views
Welcome to DoSomething.org, a global movement of millions of young people making positive change, online and off! The 11 facts you want are below, and the sources for the facts are at the very...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Habari wanaJF, Sometimes nakuta missed calls [emoji338] kwenye simu yangu ila ni namba angu nayoitumia inapiga kwa SIMCARD hii hii au ingine yaan laini ingine iliyoko kwenye simu yangu. Tatizo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu nina swali hapa, juzi Kati nilikua nimechil zangu nisema ngoja nitupie picha. Sasa nimeshindwa kuelewa kabisa wakati naangaika kujipiga, nikaona kama inashek shek hivi yaani nikama zile TV...
2 Reactions
6 Replies
830 Views
Habari wanaJF?, Natumai mko poa Sana, mwenzenu Nina changamoto Nina simu ya Aina ya infinix, hapo mwanzo nilikua nakonnect vizuri kwenye computer. Sasa hivi karibuni nimekonnect Mara kadhaa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Netflix itaanza kuzuia watumiaji wasitumie password za watu kuanzia robo ya kwanza ya mwaka huu (Q1). Hivyo inamaanisha mwezi wa tatu ni mwisho wa kutumia password za watu ambao hampo katika...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tangu nianze kutumia hii simu ya Sumsung A23 Na Waya wa type C upande wa kuhamisha data umekuwa Changamoto kwangu tofauti na Kawaida. Msaada tafadhali.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za leo wandugu! napenda kushirikishana nanyi jambo moja ambalo yamkini wengine walishalizungumzia au wanalifanya lakini sio mbaya na mimi nikiligua kwa nafsi yangu. kwa kipindi hiki cha...
1 Reactions
54 Replies
14K Views
Wakuu, Nafikiri kwenda kununua simu, bajeti yake iko around 300k to 400k. Hapa najiuliza wapi nikanunue, Kariakoo au Mlimani City? Vitu vya kuangalia; • Simu na bei • Usalama wa simu • Kupigwa...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Back
Top Bottom