Zoom camera ya infinix zero x pro nikufuru hilo nimelithibitisha mimi mwenyewe

Nyamwage

JF-Expert Member
Oct 16, 2020
634
1,535
FB_IMG_1649745597233.jpg
IMG_20220410_092922_793.jpg

Habari.
Hizi picha mbili nimezipiga mimi mwenyewe kwa kutumia hii simu ya infinix zero x pro kwa kutumia camera yake ya 8mp periscope telephoto 5x optical zoom OIS nilikua magomeni Morocco hotel na hilo jengo la watumishi house nililo zoom liko mwembe chai
 
Simu yoyote yenye camera ya telephoto inafanya hivyo, wakati kipindi hicho watu wakiongea mlikuwa mnahoji kuna kitu gani Samsung inafanya Tecno/infinix haifanyi? Sasa hivi kina infinix wanajitutumia inaonekana ni kufuru?

Samsung nyingi toka 2013/2014 zina telephoto x10
 
Telephoto ndio nn chief nifafanulie
Simu siku hizi zinakuja na camera nyingi nyingi, kila camera inakuwa na kazi yake, moja wapo ya camera/lens wanazoweka ni hio telephoto.

Yenyewe telephoto kazi yake ni kufocus part ndogo ya picha na kufanya vitu vya mbali vionekane vipo karibu. Kama mfano wa jamaa hapo juu.
 
basi watakuwa wamesanuka hivi karibuni,
lakini kiujumla kwenye swala la camera huawei amekuwa akifanya vizuri kuliko wote
Inategemea mkuu Camera ni pana sana, mfano haya mambo ya Kuzoom Samsung yupo vizuri sana kwa mda mrefu.

Iphone kwenye video most of time wapo vizuri.

Huawei wao wana emphasize hardware ya camera, pixel wao software sana etc.
 
Simu yoyote yenye camera ya telephoto inafanya hivyo, wakati kipindi hicho watu wakiongea mlikuwa mnahoji kuna kitu gani Samsung inafanya Tecno/infinix haifanyi? Sasa hivi kina infinix wanajitutumia inaonekana ni kufuru?

Samsung nyingi toka 2013/2014 zina telephoto x10
iyo kazi nilikuwa naifanya kwenye Huawei P10 na haikuwa na telephoto na zoom yake ilikuwa ni umeme, Huawei ana camera kali ila hazungumzwi kabisa.
 
iyo kazi nilikuwa naifanya kwenye Huawei P10 na haikuwa na telephoto na zoom yake ilikuwa ni umeme, Huawei ana camera kali ila hazungumzwi kabisa.
Ipo review ya Zoom ya P10 hapa

Its no where near Telephoto quality mkuu. Ama Optical zoom yenyewe.

Cheki youtube s22 ama Xperia IV ambayo ina optical zoom.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom