malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,789
- 4,480
Wakuu nauliza sumsung hizi ultra namba zote Bei zake zikoje nataka niingie uko.
AliExpress, Samsung Galaxy S22 Ultra inauzwa around 1.7MMimi pia nina mpango wa kuvuta s21 ultra,haya matoleo yapo vizuri mno upande wa camera,storage,size nk
Nitanunua hizi za makumbusho maana nyingi wanauza below 1.5mAliExpress, Samsung Galaxy S22 Ultra inauzwa around 1.7M
Hapo hata ukitumia DHL kusafirisha mzigo bado unaokoa hela nyingi
S22 Ultra below 1.5M in Makumbusho?Nitanunua hizi za makumbusho maana nyingi wanauza below 1.5m
Kuwa makini sana wale vijana wa makumbusho, wengi wao ni money mongers, wanatafuta pesa tu ya kujikimu hawapo serious na biashara.Nitanunua hizi za makumbusho maana nyingi wanauza below 1.5m
Utapigika na kupika na kupika na kutoa machozi mengi na utarudisha simu ukute duka lina watu wapya tofauti na uliowakuta wakati umeenda nunua simu..Nitanunua hizi za makumbusho maana nyingi wanauza below 1.5m
Mkuu ninamaanisha s21 ultra sio 22 ultraS22 Ultra below 1.5M in Makumbusho?
Hizo ni mpya kweli, Makumbusho nasikia watu wanaiogopa sana kununua simu kama Samsung [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee watu mna hela
Wanaongelea mamilioni kama ka hela mbuzi tu, nchi moja ila madaraja tofauti anyway tupeane michongo wadau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unadhani nani atanunua hizo simu za gharama kama wote tutalia lia kama wewe.nina jirani yangu alinunua s22ultra kwa m2 amekaa nayo muda sasa ameniambia anaiuza anunue iphone 14 pro max ili aonje utamu wa apple pia.kwa hiyo kaka usishangae watu kununua huzo simu kubwa ,wewe ndiye huna pesa unatakiwa kufanya kila juhudi ili na wewe umiliki pesa na umiliki vitu vizuri kama wanaune wenzakoAisee watu mna hela
Original kabisa zinapatikana kwenye maduka gani kwa huko DSM?S23 Ulta ndio latest, original na mpya kabisa huuzwa 3.5 milion.
Wanaongelea mamilioni kama ka hela mbuzi tu, nchi moja ila madaraja tofauti anyway tupeane michongo wadau
Bei za Dar kwa sasa ukiwa na 2,600,000/= unapata Samsung Galaxy S23 Ultra yenye 8GB RAM 256GB ROM. Vilevile S23 Ultra yenye 12GB RAM 512GB ROM inauzwa around 2,900,000/= hadi 3,100,000/= hivi. Kuna version ya 12GB RAM na 1TB ROM hii ndio nimeona inauzwa TSh 3,500,000/=.Original kabisa zinapatikana kwenye maduka gani kwa huko DSM?
Wkt unakuja Dad stand uliikuta ubungo au mnazi mmoja?Nitanunua hizi za makumbusho maana nyingi wanauza below 1.5m