Tigo 5G inapatikana wapi?

Tigo 5G inapatikana wapi?

king90

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
368
Reaction score
221
IMG_5790.jpg

Hii 5G ya tigo inashika wapi na wapi mbona sie tunaoshinda city centre na masaki hatuioni au geresha? Fanyeni kweli kama ya voda mpaka buza inashika
 
Mkuu issue ya 5G ni Simu iwe na 5G na Oem pia awe ameruhusu utumie 5G, mpaka upate update husika ndio simu yako itashika 5G. Voda ni hivyo hivyo.
 
Mkuu tuna simu za 5G ila provider Tigo amezidi usanii, kama wiki nilikua dodoma mjini yani si network ya kupiga kawaida wala data vina stability - zote hovyo! Tigo wanakwama wapi?
 
Hata dar ilikuwa hivyo, naona jana wametuma msg kuwa wame update mitambo yao kuongeza speed
 
Mkuu issue ya 5G ni Simu iwe na 5G na Oem pia awe ameruhusu utumie 5G, mpaka upate update husika ndio simu yako itashika 5G. Voda ni hivyo hivyo.

Voda 5G iko vizuri ingawa sio maeneo yote inapatikana ila hawa Tigo ni wasanii wanakwambia maeneo ya masaki,Airport na city centre inapatikana 5G ila kiuhalisia hamana kitu.
 
Mpaka simu yako iwe updated mkuu, hata Voda ilikua hivyo hivyo wakati inatoka mwanzo.
 
Back
Top Bottom