mosesgiant
New Member
- Aug 13, 2022
- 3
- 3
Msaada, niko nataka kununua friji ya Hisense, nimepata hawa jamaa wanasema wanakuletea hadi nyumbani.
Sasa sina uzoefu nao na nina hofu nisiletewe kitu ambacho sio original.
Maana nimeulizia hadi duka lao lilipo nimeenda kuikagua naona kuna lebo ipo ndani ni made in South Africa, lita 263
Sasa naulizia kama hawa jamaa product zao ni orijino au wanachakachua?
Naogopa kupata majuto, naombeni msaada.