Fifteen
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 620
- 817
Habarini wakuu,
Katika pita pita zangu nkakutana na habari ya wingi wa satellite angani lakini nyingi ni za nchi zilizoendelea huku kampuni ya elon musk ya starlink ikiongoza kwa kua na wimbi la satellite angani.
Lakin katika kusoma zaidi nkapata kuona kua angani Kuna satellite nyingi sana zisizotumika (inactive satellite)ambazo wamiliki hutumia gharama kubwa kuziondoa angani either kwa kutumia fiel nyingi kuzi slow down Ili zitoke kwny orbit au kuziongeza speed Ili ziende anga za mbali uko sasa nkawaza jambo.
Tunajua nchi zetu kwa vitu vya mtumba kuanzia nguo,vyombo,magari mpaka furniture sasa kwanini tusiingie na huku kwa kununua technology tu yakuziongoza izo satellite kisha tunaomba tupatiwe kwa matumizi yetu.
Najua haitokua rahisi wao kukupatia kwa sababu mbalimbali watasema zakiusalama na kulinda technology zao lakini tukiwa na negotiater wazuri tunaweza zipata kwa bei nzuri tu pia ukizingatia zingine zinamilikiwa na kampuni binafsi sizani kama itakua ngumu.
Tuna wanafunzi wengi wanaosoma masomo ya technology pale udsm coict,dit,must,st Joseph nk nadhani tunaweza pata wataalamu wakuongoza izi technology.
Karibuni kwa mchango wenu kuliweka wazi langu likae sawa.