robertmpumilwa
Member
- May 15, 2016
- 47
- 14
simu yangu ni samsung a71 5g inanigomea kuninstall gbwhatsapp baada ya ku update rom kwenda android 13!msaada jaman kama kuna njia ya kufanya. MSAADA WATAALAMU PLEASE
Duh [emoji28][emoji28]GB WhatsApp muachie Mange Kimambi na Soudy Brown. Unless wewe siyo mwanaume