Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,020
- 691
Naomba wadau tujadili issue hii
Hivi katika kurusha na utumaji wa picha za video vituo kama Aljazeera ,CNN nk wanatumia Tecknolojia ipi hasa katika kutuma picha hali inayotushnda sisi wabongo?
Mathalani kwa tanzania vituo vingi vya TV wanatumia Conventers kutoka kwenye AVI Format au HDV Format kubwa ikuwa ni kupunguza ukumbwa ili file zao ziweze kutmwa via Internet.Lakini ubora wa picha unakuwa si mzuri tofauti na vituo vya nje
Mfano wao wanaopokea picha zilizobadilishwa kutoka AVI kwenda ama MPG4 au FLV ubora wake unapungua sana je wenzetu wanafanyeje naomba wataala mtujuze.
Na je nilisikia kuhusu mkongo wa masailiano ,je hauwezi kutusaidia kurusha matangazo yetu Live hasa ya mikoani badala ya TV kutembea na crew nzima ya mafundi nk
Hii ikoje