Wakuu msaada wa C programming please | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu msaada wa C programming please

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Papizo, Jan 26, 2011.

 1. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Wakuu naombeni msaada wenu kugundua nini kimekosekana kwenye hii program yangu, najaribu kuicompile kutumia gcc filename -o filename but lakini naona inakubali lakini hainipi result ninazo taka mimi sasa sijui ni kwa nini au imekosekana nini.......hebu check hapa chini program yenyewe

  //************************************************** *******
  //point5.c - Demo of use of pointers. Pointers and functions.
  //The function call passes arguments that are addresses of two variables x and y.
  //The function, using the addresses of x and y modifies their content.
  //The main function then displays the content of x and y.
  //************************************************** ***********/

  #include <stdio.h>

  void addconst(int *px, int *py); // very clear function prototype

  int main(void)
  {
  int x = 2, y = 4; //integer variables

  printf("\n\npoint5.c Demo of pointers\r\n");
  printf("=========================\r\n");

  printf("Before function call :x = %d :y = %d\n\n", x , y);
  printf("The function adds 3 to x and 6 to y indirectly by using the\n");
  printf("addresses of the variables.\n\n");

  //addconst( &x, &y ); // Addresses passed to function
  printf("After function executed :x = d :y = d",x,y);

  return 0;
  }// end of main function


  //addconst
  //function is passed the addresses of two variables x and y
  //and then uses these addresses to alter the content of the variables
  void addconst( int *px , int *py)
  {
  *px = *px + 3;
  *py = *py + 6;

  }//end of function


  Hiyo ndio program yenyewe sasa hapa nime compile kwa gcc point5.c -o point then haionyeshi error alafu naweka point5 kunionyesha result,lakini majibu ninayopata hapa sio ambayo mimi ninayotaka inanipa result tofauti ambayo ni

  point5.c Demo of pointers
  =========================
  Before function call :x = 2 :y = 4

  The function adds 3 to x and 6 to y indirectly by using the
  addresses of the variables.

  After function executed :x = d :y = d


  so hapo nilipoweka red ilibidi jibu lake liwe kama x= 5 na y=10 lakini sasa inanipa result ya x=d and y=d so not really sure where nimeenda wrong kwenye hiyo program!

  Kama mnaweza kuumiza kichwa naomba kufundishwa na kukosolewa au kama kuna kitu inabidi ni add ili niweze kupata hizo result nitashukuru sana...
   
 2. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  nadhani hio "d" kama ni string formating basi si ingekuwa na ki2 b4! kama variable haijawa declared!

  Na sina hakika kama function itakuwa executed coz iko kwanye comments "//"!

  sina compiler, so im sorry I cudnt try it!
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Unaweza kunimbia hio line ina maana gani
  void addconst(int *px, int *py) -- hivyo vinyota vina maana gani

  Na kwa kwa nini hii function ya void addconst(int *px, int *py) umeiweka na kui declare kabla ya main funcntion na sio ndani au baada ya main()

  Kama sikosei kwenye C wanasema function zote ni watoto wa main()

  NB.
  Sio kwamba ninakukuosoa ila napenda kujua .kwa kweli ni mchovu wa Cna ni siku nyingi sana napenda kuchemsha kichwa tu

  Hiyo * ina maanisha nini sorry kukurudisha nyuma napenda kujikumbusha
   
 4. Mchizi

  Mchizi JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2011
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 670
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 180
  hivyo vinyota ni pointer to variable, na hiyo line maana yake ni prototype function, in c programming function should be declared first the same as global variables kabla hujazitumia toofauti na language kama java ambayo huitaji ku declare methods mwanzoni. Hapo naona unapata wrong results sababu hiyo function call kwenye main function ume icomment kwa hiyo hakuna inachofanya,kwa hiyo kilichotokea imeprint line chini baada ya hiyo comment
  printf("After function executed :x = d :y = d",x,y);
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ok thank you very much je kwa hiyo ni sawa alivyofanya kuideclare kabla ya main()
   
 6. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Thanks mkuu kwa msaada na nashukuru sana, Nadhani nimejaribu kucheza na hii program toka mchana lakini still sijui tatizo lipo sehemu gani,nimejaribu ku compile hiyo kitu lakini inanipa kila kitu powa ila result tofauti,unadhani hiyo ndio naweza kuwa nimekosea hapo??

  N.B ni kweli kabisa hiyo d haina kazi kabisa ilibidi iwe hivi %d ndio program iweze kufanya kazi........Thanks again
   
 7. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Mkuu kwa kweli hata mimi mwenyewe najaribu na wala usijali kabisa na nakubali kabisa kukosolewa kwa mtu yoyote yule na bila kuona aibu maana mimi mwenyewe nahitaji kufahamu kwenye hizi nyanda....Nadhani mkuu MCHIZI amejibu kila kitu au hizo star(*) kwa jina lingine tunaweza kuziita pointer data type..Anything tuulizane tu nadhani hata mimi nahitaji kufundishwa zaidi ya hapa!!
   
 8. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180


  Mkuu nadhani hilo nalo swali zuri,yes lazima main () ndio iwe njia ya kila kitu lakini kwa hiyo program naona hata nikiweka hivyo inawork fine so sidhani kama hiyo nayo ni problem, nimeicheck ila naona problem haipo hapo!!
   
 9. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Daaah! umenifanya nikatafute macompiler, so here it works!.. Haya ndo maswali ya kuuliza.. :ranger:

  Code:
  
  //************************************************** *******
  //point5.c - Demo of use of pointers. Pointers and functions.
  //The function call passes arguments that are addresses of two variables x and y.
  //The function, using the addresses of x and y modifies their content.
  //The main function then displays the content of x and y.
  //************************************************** ***********/
  
  #include <stdio.h>
  
  void addconst(int *px, int *py); // very clear function prototype
  
  int main(void)
  {
  int x = 2, y = 4; //integer variables
  
  printf("\n\npoint5.c Demo of pointers\r\n");
  printf("=========================\r\n");
  
  printf("Before function call :x = %d :y = %d\n\n", x , y);
  printf("The function adds 3 to x and 6 to y indirectly by using the\n");
  printf("addresses of the variables.\n\n");
  
  addconst( &x, &y ); // Addresses passed to function
  
  
  
  
  printf("After function executed :x = %d :y = %d",x,y);
  
  return 0;
  }// end of main function
  
  
  //addconst
  //function is passed the addresses of two variables x and y
  //and then uses these addresses to alter the content of the variables
  void addconst( int *px , int *py)
  {
  *px = *px + 3;
  *py = *py + 6;
  
  }//end of function
  
  sijawahi fanya C, this was my first time!.. lakini haina tafauti na C++ niliofanya..
   
 10. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2011
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Wakuu mimi sio mtu wa C, lakini natatizwa na utumiaji wa one variable d (not a multvariable attribute) na somehow tutegemee irudishe two different values :x = d :y = d ?!

  umedeclare int x =2, na y = 4
  then x = x + 3 // 5
  y = y + 6 //10

  ni vipi utapata different results wakati :x = d :y = d


  - mbona addconstant() method umeicomment out?
  - hapa naona unadisplay tu x and y the rest in "message" printf("Before function call :x = %d :y = %d\n\n", x , y);

  Iangalie tena program yako, error itakuwepo kama kuna syntax issue otherwise cha msingi je unapata output uliyotegemea.
   
 11. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  haya ndo mambo ngoja niistall turbo borland C++ nami nijifunze

  mkubwa japo nami sio mtaalma wa prg cha muhimu sio program itoejibu sahihi cha muhimu program logic iwe sahihi.
  kwahiyo usisitize prog ikupe jibu 10 tu.

  tupe somo program logic yake ilikuwa na kosa wapi?
   
 12. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  tupe somo program logic yake ilikuwa na kosa wapi?[/QUOTE]

  kwanza ukiangalia wakati anaicall ile function, alieka comment so, ilikuwa haitwi ile "addconst" function. the pale kwenye "y=d" nimeeka "y=%d".. ushaelewa?

  Naming Conventions:

  function: addConst
  class: AddConst
   
 13. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ndugu,
  nafikiri unahitaji ku brush kidogo C. Kifupi tu ni kuwa unapopitisha argument kama array ktk C/C++ compiler inapitisha pointer to the first element. Kwa hiyo ni kama unapitisha array of int. Pass the variables by reference if you want to modify them directly. You have just opened the can of worms!
  Code:
  void addConst(int& x, int& y){
  //modify the x and y and they will be modified out of the function also
  y=y+2;
  x=x+5;
  }
  
  you need to re write again. Just a note, simple program like this needs no comment. Next time just put in a code and whenever someone does not understand a line will ask
   
 14. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  just ignore the quoted post. That will work with C++ but not C. OP is right on his way of using pointers. Here is a working code

  Code:
  #include <stdio.h>
  
  void addConst(int* , int*); 
  
  int main(){
    int x = 2, y = 4; 
    printf("Before function call x = %d y = %d\n\n", x , y);
    printf("The function adds 3 to x and 6 to y indirectly by using the ");
    printf("addresses of the variables.\n");
    addConst(&x, &y); 
    printf("After function executed x = %d y = %d\n",x,y);
    return 0;
  }
  
  void addConst(int* x, int* y){
    *x = *x + 3;
    *y = *y + 6;
  }
  
   
 15. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #15
  Jan 26, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nadani mkuu atakuwa kapata suluisho kutoka kwa vichwa vya programming. Hii thead imeongeza afya ya ubongo wangu
   
 16. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Kabisa ndio kujifunza lakini....hata mimi na mpango wa kuijua kiundani zaidi C++
   
 17. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #17
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  papizo, feedback muhimu ili kujua post zetu zimekusaidiaje/zimekuangushaje!
   
 18. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #18
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Yap mkuu at the end solution imepatikana sasa na kila kitu kipo fine kabisa.......
   
 19. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180


  Kabisa mkuu hii kitu ni nzuri lakini inaumiza sana kichwa............
   
 20. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #20
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  kwanza ukiangalia wakati anaicall ile function, alieka comment so, ilikuwa haitwi ile "addconst" function. the pale kwenye "y=d" nimeeka "y=%d".. ushaelewa?

  Naming Conventions:

  function: addConst
  class: AddConst[/QUOTE]  Thanks mkuu problem ipo solved sasa kutokana na michango ya nyinyi wakuu lakini nilikuwa bado sijagundua kabisa kama ndio problem
   
Loading...