Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Wana jamvi nina wazo. ambalo kama tukikubalina na kupata idadi tutakayokubaliana tunaweza kujaribu kufanya kitu fulani simple practically huku tuijifunze, kuelimishana na kufanya vitu kwa vitendo.
Lengo ni kijifunza huku tukifanya vitu kwa vitendo na sio kuwa na kitu serius ikitokea . kikatokea kitu serius kikahitaji kuendelzwa
Tunajua Inernet imefanya Dunia kama kijiji .Tunajua intenet imebadilisha au imeleta maana nyingine ya neno ofisi.
Tutengenze website. Maudhui ya website hiyo tunaweza kujadiliana.
Tutachague Project Manager. Na Team member watakaopenda wasiozidi 10
Member watachagua au kupewa assignment na task ni delivery gani watatakiwa kufanya kwenye website. Hope katika website itakuwa ni Database driven
Member wataeleza hapa JF watafanyaje jukumu walilopewa. Watatumia nyenzo gani kama kutakuwa na wakurekebisha au kupendekeza vinginevyo. Mijadala yote na mawasilino itakuw kwenye uzi fulani hapa hapa maalum kwa ajili ya hiyo project
Thread ya hiyo website na project itafunguliwa hapa hapa ili kuelimishan na huku tukiona na watu wakiona kile tunachokifanya.
Tijifunze na kuelimishana kwa vitendo. Tunaweza kupractise IT project. Team leader akiwa US. Team member wakiwa UK , Dar. Kenya ,china etc.
Mnaonaje?