what do you have for exchange? nina account tatu( megaupload, hotfile, rapidshare) ila zinaishia ku-expire bila mimi kuzitumia ipasavyo, thanks to rapidshare sikuhizi inakwenda kwa njia ya rapids. so kama una account tofauti na zilizopo hapo juu au hata zilizopo hapo juu basi tunaweza ku-share in exchange.Wadau kwa wanaofahamu utaratibu wa kupata hii account na kama mtu anaweza share account yake. na je gharama zake zikoje?.