Natafuta fundi wa laptop | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta fundi wa laptop

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by bishoke, Jan 27, 2011.

 1. bishoke

  bishoke JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msaada kwenye tuta wana JF.
  Natafuta fundi mzuri wa laptop ambaye anaweza kunisaidia kurekebisha laptop yangu yenye tatizo la kutokutambua (recognize) betrii wakati ikiwa kwenye umeme. Bila umeme batrii haifanyi kazi.

  Asante sana, napatikana hapa 0784 398893
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
 3. bishoke

  bishoke JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana.
  Ni hp compaq 2510p. Hawa wanayo utility ya kupima afya ya betri na baada ya kuipima ilisema betri inahitaji kubadilishwa. Nimenunua betri nyingine tayari lakini baada ya kuifunga laptop ikawa ina leta ujumbe kuwa batrii haiwi recognized, hata nikirudisha ya kwake ya mwanzo nayo kwa sasa haiwi recognized. Kuitumia mapak iwe kwenye umeme.
  Naamini naweza kupata mtaalamu wa kunisaidia kutatua tatizo langu.
   
 4. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Power Computers elia complex Zanaki street
   
 5. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #5
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Umeme wenyewe wa mgao ndio maana huwechangii sana mada hapa chamvini pole sana mkuu ila jaripu power computers au sukari house ground floor wapo jamaa pale wanatengeneza vitu hivyo
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  soma vizuri hiyolink niliyokupa kuna kitu kinaitwa calibration nimewai kufanya support yenye tatizo kama kama hiyo ya HP nx9600. mwenyewe aliddhani kuna tatiz kubwa kumbe wala baada ya kusomasite ya HP na kujaribu jaribu mambo yalikuwa sawa

  Ukisoma vizuri kwenye site ya HP utapata suluisho. sina uhakika kama ndiyohiyo calibration au la but relax soma vizuri HP wana support site nzuri naina info zote

  But kama unaona kazi kusoma maelezo ya ki technical basi tafuta fundi
   
 7. Akthoo

  Akthoo JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 585
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Kutokana na maelezo yako hata hiyo Betri nyingine pia si nzima;
  Hata hivyo unaweza kuwasiliana na Arif kupitia 0715384258
   
Loading...