Msaada tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tafadhali

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mr. Miela, Jan 27, 2011.

 1. Mr. Miela

  Mr. Miela JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 2, 2007
  Messages: 242
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Baada ya kutumia flash disk yangu kuhamisha files toka kwenye komputa ya mshikaji wangu, file zote zinaonekana kama shortcut na hazifunguki, pia baadhi ya file kwenye komputa yangu zimepotea! Kwa wenye uzoefu ni antvirus gani itakayoweza kuokoa jahazi! Natumia avast kwenye komputa yangu!
   
 2. Mr. Miela

  Mr. Miela JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 2, 2007
  Messages: 242
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Natumaini nimeingia choo cha kike! enewei ngoja nipige goti msaada utapatikana pande hizo!:embarassed2::redfaces:
   
 3. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  tatizo nidham haba, utapaitaje hapa choo cha kike? Chooni kunapatikana msaada wa aina gani?
   
 4. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nnavyojua jua mimi chooni utaongeza virus tu!. I would suggest, mmm.. mmmm.. I dont know... instead ya kuingia choo cha kike ingia cha kiume so that u jst get the virus.. ukiingia cha kike unapata embarrassment na virus.(That is wen u r a guy!)...

  :bathbaby:
   
 5. g

  gomer Senior Member

  #5
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 109
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ili uone faili zako, kama ni mshirika wa Gates, jaribu kuview hidden files kwa kuingia
  toolbars menu:
  tools;
  folder option; view, advance setting,
  and
  select show ....
  unmark hide protected.....
  ok


  antivirus zina kill .inf file lakini hazirestore effects zake.

  Ukiweza kufungua mabaki ya .inf file kama notepad bila kubofya, utaona mlolongo wa kazi inazofanya na imejificha wapi ikiendelea na kuficha na kuduplicate mafaili.

  Kwa ufupi remove malware manually in safe mode.
   
Loading...