Wakuu habari zenu
Ninatumia blackberry curve, kuna mafile nataka kufungua yanahitahi pdf reader, nimejaribu ku search
Nimepata za kulipia na taratibu za kulipa sizijui kabisa, sasa naomba msaada...
Technolojia sasa imeshika kasi duniani kwani kila hatua ya maendeleo the technology must get involved kwahiyo ni kitu serious na lazima isimamiwe vyema. Bali cha ajabu hapa kwetu Tanzania failure...
Mu hali gani wataalamu? Naomba mnijuze kisayansi ndg zangu iwapo kuna madhara yoyote kiafya kwa kutumia laptop ukiwa umeiweka mapajani huku uki-internate kwa muda mrefu, hasa kwa "IKULU" Hakuna...
Mambo vp wakuu? ni matumaini yangu kuwa mko na afya njema.
Namshukuru sana ndg yangu Zasasule na wengine wameniwezesha kudownload windows 7 Ultimate lakini ina download slow mno hadi inakera...
iDeneb v1.4 10.5.6 Walkthrough Installation
This tutorial will give you a walkthrough on an iDeneb v1.4 10.5.6 installation. Older versions of iDeneb are basically exactly the same.
Before we...
Jamani wakuu please ninahitaji hii software na pia kama kuna mtu anweza kunifundisha nimlipe au kama kuna chuo kinafundisha please naomba mnisaidie wakuu
Kwa sasa hivi katika jiji la dar es salaam huwezi kupita kilomita 2 bila kukuta mnara wa mawasiliano labda juu ya nyumba za watu haswa magorofa kati kati ya jiji na pembeni kidogo au barabari...
Hello wakuu..natafuta motherbord ya laptop aina ya dell latitude D430, ni notebook.. Kuna circuit imengua ikazima machine na haijawaka tena..msaada plz
URGENT!!! PLEASE CIRCULATE to your friends, family and contacts.
In the coming days, DO NOT open any message with an attachment called: BLACK MUSLIM IN THE WHITE HOUSE, regardless of who sent it...
Hivi ninavyoandika sasa hivi watumiaji wa Mtandao nchini Tanzania ni 676,000 hiyo ni asilimia 1.6 ya idadi ya Raia wote wa Tanzania wakati huo huo watumiaji wa Mtandao jamii maarufu kuliyo yote...
Wapendwa
Computer yangu imefanyiwa Instlation hivyo imefutwa kila klitu na sasa nataka kuprint lakini sina CD ya printer ni HP naweza kufanyaje ili niconect computer to printer bila CD ya printer...
Hello wana JF, nina shida kidogo na simu yangu BB Curve 8520, ninatumia browser ambayo ipo kwenye simu yangu inafanya kazi vizuri tu... lakini siwezi ku log in kwenye jamii forums inakuwa inakataa...
kuna blog nimefungua , iko fresh, jana ktk kucheza cheza kwny web zingine nikakuta 100% Free Hit Counters for Your Website. 100's of Styles to fit your Site. Keep track of your sites page hits...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.