Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kwanza napenda kushukulu kwa watu kuni omba niludi kwenye jf nilikasilishwa na majungu ambayo si ya msingi. 0712484995 step za kufanya si kila dish kama lina shika ila kama una lnb kubwa ambayo...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
greetins wakuu.... tafadhali naomba msaada kwa yoyote anaeweza nsaidia IDM yenye key.....
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna bosi hapa sasa kazidi, kwani ana tabia ya kufunga simu ya mezani (ttcl land line) kisa eti tusipige. Naye utumia pin kufungulia . Je kuna mtu mwenye master key ili atusaidie ?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Site Profile Estimated Value: $102,120.06 USD Estimated Revenue: $138.97 USD per day $4,169.24 USD per month $50,725.74 USD per year Estimated Pageviews: 61,375 per day 1,841,255 per...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nasikia AC za split unit ni energy saver kuliko ile aina nyingine ya split unit. Wengine wanasema Window type ni durable kuliko split units. Je zinaweza kulinganishwaje in terms of power...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Dutch Students Create World’s Largest Multi-Touch Screen Dutch Students Create World’s Largest Multi-Touch Screen Students at the University of Groningen created an enormous Multi-Touch...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakubwa nataka kutumia laptop isiyo na option ya fire wire pin kwa ajili ya ku-capture video direct kutoka kwenye video camera to Laptop . Je naweza kufanyaje kwa sababu hakuna (nadhani)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba msaada kwa yoyote anayejua na ambaye ameshawahi ku-upgrade LG GW 305/300 au aina yoyote ya LG mobile inakuwa ni vipi caz nmejaribu ila mara nyingi inakataa. Kama unajua please nisaidie.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wakuu baada ya kukomaa kwa mda nimefanikiwa kuiponya dv9000 lile tatizo la kuwaka blue light now ipo safi inafanya kazi kama kawa nimeona nirejeshe feedback kama nilivyoahidi hapa jamvini
0 Reactions
3 Replies
1K Views
HI
Jamani naomba msaada wenu na modem yangu ya huawei ec189 nataka ni frash niweke line yeyote inawezekana naomba jibu.:a s 13:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Java EE 7 work focusing on the cloud Work on the next enterprise edition of Java is proceeding at Oracle, with the company...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Likitokea kosa kwenye diesel Engine Machine Kimakosa ukaweka Petrol ina maana hiyo machine itakuwa imekufa ama kuna namna unaweza rekebisha? I stupidly put petrol in my 10 KVA silent Diesel...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Jamani sijawahi kusikia kufanyika kwa confrernce yoyte, naombeni mniambie kama kuna yoyote inayofanyika hivi karibuni:decision:.
0 Reactions
6 Replies
960 Views
Jana nimepokea mesage hii ambayo ilinishangaza sana, "Your Vodacom Buddy transaction REF:XXXXXXXXXXXXXX has been completed" Cha ajabu zaidi, nilipoangalia salio nikakuta 79,000/= kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za jioni simu yangu ni N79 origin nashindwa inashindwa kusoma pdf nyingi yaani haziplay naomba msaada wenu wataalamu.Ikiwezekana nitumiwe kwenye email yangu ( dseverin47@gmail.com) naomba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuna sehemu mdau kapot hii kitu najua kule hawataiona wengi read this Mobile and Web Technologies for social and Economic Development
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau kuna modem Huawei mobile broadband HSPA+ USB slider model:E1820.sasa wanasema hii modem inakubali chip ya airtel and Vodacom.So nimejaribu kutumia Vodacom.after installation ina autorun page...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hello wana JF! Niliigawa Hard Disk yangu katika sehemu 4: Local Disk C, E, F na G ambapo G ni kwa ajili ya Back Up. Tatizo ni kwamba G imejaa na ninapojaribu hata kufuta baadhi ya mafaili...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Nimenunua simu ya kichina. Imelokiwa kutumia SIM card ya tiGO tu. nataka iwe inapokea laini zote. Inaitwa MI au Mi-Q+ Imetengenezwa na Mi-Fone company IMEI: 357213030445512. TAFADHALI...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
natafuta diplosat model namba DDSR5512 FTA,mwenye kujua pa kuipata anijulishe nimetafuta maduka yote mwanza nimekosa,na mimi niko bukoba mwenye kujua anijuze ili niweze kuipata nitashukuru
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom