Kwavile tunagombana na wapika gongo, kwanini tusinufaike nao ili na sisi wote pia tunafaike.
Ni hivi, iwapo mabasi au daladala zote zitatumia gongo ama kiutaalam zaidi ETHANOL gharama za usafiri...
Java applet ni progam iliyonadikwa katika java na ikaweza kuunganishwa na HTML na hivyo program kuweza kufanyakazi kwenye browser yeyote.
Program ya java inayo run katika applet ina faida...
If you get the codes from the website i have Given u,
you can directly download the code writer, ambayo itatumika ku unlock hiyo modem yako
Gonga SEKULU Kupata hiyo Link.
Introduction A lot of people dont know that if you run Windows XP or Windows Vista it is possible to build your own wireless network at home or office without using a wireless broadband...
Jamani naomba msaada kuhusu google Chrome nataka kubadilisha Lugha kutoka KISWAHILI kwenda kiingereza. Nimejaribu kutumia ikiwa na kiswahili ila imenishinda. Naomba mniambie niende wapi ama...
Wadau ma great thinkers, naomba nitoe ujumbe ambao nadhani unaweza kuwasaidia wale wapendao mambo ya ku Fix matatizo kwenye computer hasa window seven.
Si unajua bongo, nilimuomba mjasi a.k.a...
Wandugu,
Naomba kujua software amabyo naweza kutumia ili kukopi movie kutoka katika DVD ambazo ziko protected, maana nimeiingiza nataka kuibanjua, basi naaambiwa haionekani DVD yako.
Nitashukuru...
Mouse ya laptop yangu toka jana imegoma kufanya kazi natumia ile ya kawaida lakini kabla sijaipeleka kwa fundi naomba nisaidiwe huenda ikawa ni swala labda la setting
Tuongelee yote kuhusu engineering Tanzania,
Cdhan kama nimekosea jukwaa hapa ndo mahala pake, Ningependa kufahamishwa kuhusu soko la engineer tanzania, Tuongelee yote kuhusu ajira, Tenda zao...
Naomba msaada wa kujiunganishia internet ya TTCL kuna waya wao wa simu upo ndani nyumbani. Je ninahitaji vifaa gani vingine ili kuweza kujipatia huduma za internet kwenye kompyuta yangu? Naomba...
Nilikuwa na avast 5 kwenye lappy yangu, nikai-uninstall na kuweka Avira premium. Sasa nikienda kwenye registry nakuta values za avast na kila nikijaribu kuziondoa inanikataza as if zipo kwenye...
HP G5000 Note book,
OS Window xp
Laptop hii ilikuwa ina stuck ni kaona niifanyie system restore, nilipo bofya sysrem restore ikafuta icon zote za desck top na task bar kama wakati inataka...