Do you have window seven problem-here we go! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Do you have window seven problem-here we go!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Cassava, Mar 4, 2011.

 1. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wadau ma great thinkers, naomba nitoe ujumbe ambao nadhani unaweza kuwasaidia wale wapendao mambo ya ku Fix matatizo kwenye computer hasa window seven.
  Si unajua bongo, nilimuomba mjasi a.k.a Mjasiliamali mmoja akaniwekea window seven. baada ya siku kadhaa ikaniandikia haya; "You must activate window within 3 days to continue using features- Click to continue"

  Nilianza kuogopa, nikijua baada ya siku 3 haitafanya kazi, basi nikajipa moyo nikaanza ku google hilo tatizo ikaja from moja inayoitwa window 7 Hii hapa (Windows 7) nikagonga, kisha nikasoma post na comment mbalimbali, nikakutana na hii comment iliyokuwa inafanana na tatizo langu,
  Remove wat not working (Remove wat not working)


  Nikaigonga (nikai-click) ikanipelekea kuona hii comment yenye title "Daz Loader" iliyokuwa inaonyesha website mbili ila mimi nilichagua hii website;


  1. http://forums.mydigitallife.info/thr...se-information

  Nilipogonga tu kwa hiyo website nikapata software ya kuondoa tatizo hilo nika install fasta na tatizo likaisha.

  Kwa hiyo wadau- tembeleeni hiyo FORUM inaitwa "LIVING DIGITALLY - My Digital Life" mtapata ma ujuzi kibao kuhusu matatizo ya window 7.

  Kumbuka computer yako ikipata tatizo ukapeleka kwa wajasi (wajasiliamali) hata kama ni tatizo la sekunde kutibiwa watakukamua na utajuta.

  Nimeipenda hiyo forum- ipo kama Jamii forum vile, ila yenyewe ina deal na mambo ya computer tu.

  Namalizia kwa kusema, "whether you like or no Computer is everything"

  Ukifanikinikiwa kusolve tatizo lako kumbuka pia kugonga thanx.

  Nawasilisha.
   
 2. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hah hah hah! Naona huyo mjasi wako alikuwa na haraka ya kula mapene yako hadi akasahau ku-activate hiyo windows 7, pia hongera kwa juhudi zako zakulitatua hilo tatizo mwenyewe..
   
 3. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  nami imeshanambia kama mwezi sasa nimeichunia tu, ngoja nijaribu
   
 4. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Du pole sana! Tunashukuru sana kwa taarifa ulizo tuwekea kwani hii win 7 haipo "frendly to user" mara nyingi huwa inaleta manyoka sana yaani huwa inasumbua sumbua sana, mara nyingine hata ukiinstall printer tu inaanza kusumbua/kugoma. Basi kama kuna kitu kingine utakipata na ukaona kuwa kitakuwa na msaada kwetu ni vyema ukatufahamisha nasi tuweze kuelewa, hilo tatizo lilikuwa linanisumbua sana.
   
Loading...