laptop haitaki kulog window

Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
6,634
10,715
HP G5000 Note book,
OS Window xp
Laptop hii ilikuwa ina stuck ni kaona niifanyie system restore, nilipo bofya sysrem restore ikafuta icon zote za desck top na task bar kama wakati inataka kuzima kisha ikastuck hapo kwa dakika kama 15, nikaamua kuiforce kuzima ikazimika.
Nilipo iwasha ikaanza viziru hadi ktk log ya window kisha kikafunguka kiwindow kidogo ktk chenye kusema log on to windows, pia kinasehemu niweke user name na password vitu ambavyo sijawahi kuviset.
Nimejaribu kugoogle bila mafanikio, pia nimejaibu kupress f8 wakati wa kuboot na nikajaribu safe mode imenileta ile ile msg. naombeni mwenye ujuzi na hii majambo anisaidie pleaseeeeeeeeeeeeeeeee
 
U-click login pasipo kuweka username na password inaleta msg gani?

samahani nipo mbali nayo kwa sasa, ila nakumbuka nimejaribu hivyo ikajibu window haiwezi kulog in haitambui user name na password
 
HP G5000 Note book,
OS Window xp
Laptop hii ilikuwa ina stuck ni kaona niifanyie system restore, nilipo bofya sysrem restore ikafuta icon zote za desck top na task bar kama wakati inataka kuzima kisha ikastuck hapo kwa dakika kama 15, nikaamua kuiforce kuzima ikazimika.
Nilipo iwasha ikaanza viziru hadi ktk log ya window kisha kikafunguka kiwindow kidogo ktk chenye kusema log on to windows, pia kinasehemu niweke user name na password vitu ambavyo sijawahi kuviset.
Nimejaribu kugoogle bila mafanikio, pia nimejaibu kupress f8 wakati wa kuboot na nikajaribu safe mode imenileta ile ile msg. naombeni mwenye ujuzi na hii majambo anisaidie pleaseeeeeeeeeeeeeeeee

mkuu tatizo lako ni kukiondoa hiko kiwindow au hauwezi kulogon kabisa.

kama ni kukiondoa hiko kiwindow fuata procedure zifuatazo

1. click start menu kisha click control panel.
2.kisha click User accounts
3.halafu click change the way user log on or off
4.mwisho tiki kibox kilicho andikwa use the welcome screen
 
samahani nipo mbali nayo kwa sasa, ila nakumbuka nimejaribu hivyo ikajibu window haiwezi kulog in haitambui user name na password

Mkuu kama hiyo xp uliikuta, I mea kama ameinstall manufacture mara nyingi kikitokea hicho kiwindow jaribu kutumia
username: administrator
password: acha blank usiandike chochote

jaribu hivyo halafu lete feeback kama ikigoma tukupe msaada zaidi.
 
Wakuu nashukuru kwa michango yenu, nimejaribu safe mode na administrator bila password imegoma, hata hivyo nimeipiga chini window xp nimeweka window 7, nimeipenda muonekano wake ingawa imeniudhi haisapoti modem za zamani za sasatel.
Naomba ushauri Sijui modem gani nzuri na rahisi kuchakachulika kwaajili ya mitandao ya voda tigo na airtel ili niinunue badala ya hii ya sasatel?
 
Mkuu kuna kitu kinaitwa drivers, unacho takiwa ni kutafuta hizo drivers kwenye manufacturers's website... Angalia hizo modem zimetengenezwa na company gani kisha tafuta kama wana website, humo angalia kama wanatoa support za drivers update.
 
Nitajaribu mkuu ingawaje kastama kea wa sasatel ndio alinijibu kuwa aina hii ya modem haisapoti..
Na sio hiyo tu pia nina T-Mobile MDA vario II ambayo ili uconnect na pc you need to install Activesync ambayo nayo haipo sapported na window 7, ntajaribu kucheck na hizo drivers
 
2mia safemode then unaweza kuredo ur changes...pale kwenye system restore au just boot hiyo cd ya os yako halafu ukafanye repairing of window hiyo itasaidia zaidi kupata mafaili yako bila ya kusumbuka
 
Back
Top Bottom