Kwa anaye jua tafadhari

DCONSCIOUS

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,269
473
Naomba msaaada wa anaezijua unlock code za modem ya zein e1550.nataka kuichakachua kupitia (hauwei modem code tool)
 
Mkuu fungua page ya pili ya jukwaa hili utakutana na post inayosema "Free huawei modem unlocking codes request" then post your request there wapo wadau watakusaidia faster
 
asante kwa jibu zuri kwa mwenzetu pls fata maelekezo ulopewa nitakutumia code sasa hivi na hii post tusiendelee kuijibu tena
 
Back
Top Bottom