Mouse ya laptop hai move nisaidieni

the kapex

Member
Feb 4, 2011
35
2
Mouse ya laptop yangu toka jana imegoma kufanya kazi natumia ile ya kawaida lakini kabla sijaipeleka kwa fundi naomba nisaidiwe huenda ikawa ni swala labda la setting
 
nimewahi kukutana na tatizo kama lako lkn ilikuwa ni virus na baada ya kuweka kerspesky ikatoa virus thn ikawa ok, advice;
azima mouse kwa jirani the jaribu kama nayo itagoma basi weka strong antvrs then make sure ipo up todate then fanya full system scanning.
 
Mouse ya laptop yangu toka jana imegoma kufanya kazi natumia ile ya kawaida lakini kabla sijaipeleka kwa fundi naomba nisaidiwe huenda ikawa ni swala labda la setting

Hiyo ni latop brand gani unatumia OS gani.

umeeeleza kama vile watu wanaijua hiyo laptop yako au wanaion.So fafanua zaidi.

Otherwise soma maelezo haya yanaweza kukusaidia
How to Fix Touchpad Not Working in Laptop | eHow.com

au hii http://www.webdevelopersnotes.com/articles/laptop_touchpad_not_working.php

nimewahi kukutana na tatizo kama lako lkn ilikuwa ni virus na baada ya kuweka kerspesky ikatoa virus thn ikawa ok, advice;
azima mouse kwa jirani the jaribu kama nayo itagoma basi weka strong antvrs then make sure ipo up todate then fanya full system scanning.

Nadhni kama si hardware failure ni setup issue tu kama kaweka mouse ya pembeni imefanya kazi inaonyesha ni setu up. Kusema hii ni case ya virus sidhani kamani sahihi.
 
Hivi sasa natumia mouse ya pembeni inafanya kazi na kuhusu aina ya laptop ni hp model siijui pia natumia avast antivirus
 
Hivi sasa natumia mouse ya pembeni inafanya kazi na kuhusu aina ya laptop ni hp model siijui pia natumia avast antivirus

HP gani ni sawa kusema una gari toyota bila kutaja model kuna baadhi ya HP hapo hapo kwenye Touchpad kuna button ya kuturn on and off. sasa isjeikawa kwa bahati mbaya umeiturn off hiyo button touch pad.

  • Kuna HP Nx series
  • Kuna HP dv series sometime zina problem sana hizi
  • etc

But link zote za kutatau tatizo nimekupa pale juu ukiwa clear zaidi utapewa solution iliyo specic kwa tatizo lako
 
avatar35646_1.gif

sijapona
 
Back
Top Bottom