Software ya kuondoa protection kwenye DVD ambazo ni protected na koping

Yombayomba

JF-Expert Member
Aug 23, 2006
818
214
Wandugu,

Naomba kujua software amabyo naweza kutumia ili kukopi movie kutoka katika DVD ambazo ziko protected, maana nimeiingiza nataka kuibanjua, basi naaambiwa haionekani DVD yako.
Nitashukuru kwa msaada wenu
 
ziko njia nyingi za DVD copy protection . so kujua itayokufaa ni muhimu ujue hiyo DVD iko protected kwa njia gani.

google error messge unayopata ukitaka kuicopy then unaweza kufanikwa.
 
ISOBUSTER 2.8 size:<10MB

CD Recovery | CD DVD Data
Rescue software, featuring
BD HD DVD CD and DVD Data Recovery/
Rescue software (BD and HD
DVD Data Recovery). Rescues
lost files from bad or trashed
CD orDVD hii ni balaa
 
Back
Top Bottom