Modem Software Update...

Cestus

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
987
131
Great Thinkers,naomben mnisaidie jinsi ya ku update software za modem...
 
unataka kuichakachua? au nia yako hasa ya ku update firmware ni nini? unataka iwe inatumia line yoyote? be specific...
 
hiyo itakuwa ni cdma..kwa sasa bado haijachakachuka mzee ingawa jitihada za dhati znaendelea kufanyika..stay tuned!:wink2:
 
pouwa kamanda...nafkiri zitakua na customized firmware!damn zantel!
 
Back
Top Bottom